Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Wednesday, August 10, 2016

WHAT AN INTERVIEW GIGY YOU WERE OPEN AND VERY HONEST AND THIS INTERVIEW WILL CHANGE ON HOW PEOPLE VIEW YOU FROM NOW ON!!,

Kweli kama hujavaa kiatu cha mwenzako basi usinyoshe kidole,,
Nimeona watu wakilalamika kwanini Zamaradi kamuhoji Gigy well jibu liko very simple alikuwa hamuelewi kwanini Gigy akifanya vitu kadhaa na the only way kujua ni kumuhoji which she did na tumejua mengi na kujifunza mengi,,
Gigy kaongea maisha ya wengi na sio yeye pekee
Gigy kaongea malezi alokuwa nayo na  mapenzi kutoka kwa baba na mama ambayo hakubahatika kuya experience,hivi kwanini mtu unazaa kama hauko tayari
Kwanini unamleta malaika duniani halafu unasema mtoto ndio kaniharibia maisha kwani alikuomba umzae?
IFIKE mda mtu mzima ndio ajue yeye akifanya maamuzi basi yana uzito na uzuri wake kwani kuwa mzazi ni kazi ambayo haina mshahara,,
Kama mzazi tizama skiliza na jifunze
Kama msichana skiliza na UJIFUNZE
Na kama mwanaume jifunzeni kukubali na kutokana mimba mlosababisha ziwepo
This is a story of many ila tumebahatika kumsikia Gigy,Big up Gift kwa kuelezea stori yako maybe now jamii itajifunza na Watakuelewa!!

5 comments:

Anonymous said...

Haki ya nani nimetoa machozi dah

Anonymous said...

So touching yaani machozi yamenitoka ghafla. Huwa naogopa sana kujudge maisha ya watu, kwa hii interview naona nimezidi kujifunza mengi mno na uoga utazidi ule niliokuwa nao mwanzo.

Anonymous said...

wow maskini amepitia mambo mengii mnooo aiseee mungu anamsaidie sana

Anonymous said...

This was so touching.... Gigy life gave you lemons now make the lemonade honey.

Anonymous said...

mhh hadi huruma kwa kweli nimeliaje? hakuna kama mama jamani mungu amsaidie tu ifike siku aache kujiuza kimwili apate ajira ya kumfurahisha moyo!