Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Wednesday, August 24, 2016

TAKE ONE!!!


3 comments:

Anonymous said...

Huyu babu yake Keane asituchoshe kuna watu wamenda ulaya na wako vizuri ila malooser kama yeye ndio huongea hivi u knooow

Anonymous said...

First of all I hate people who call autistic kids matahaira.bora useme watoto wenye matatizo.sio watoto wote wenye autistic ni matahaira they end up so smart in their future.2nd hiyo kazi ambayo akuitaka yeye ndo nafanya na ninalipwa pesa ambayo wanaofanya bank wanatengeneza kwa mwezi naitengeneza kwa week.na every year napata bonus$8,000 every year.and I will not think of another job to work.and I graduated from college 6yrs ago.I have my bachelor degree.na nimejenga bagamoyo.na nimejenga mwanza.na nina viwanja vingine viwili dar.kwa hiyo kazi ambay anaicheka na kuiona it's nothing.ni wewe tu na juhudi zako na determination yako.

Anonymous said...

Well hata mimi sikupenda kwasababu hujafa hujaumbika kuwa disabled kiakili si lazma uzaliwe hivyo hata depression inaweza kukusababishia ukadata na wote ni binadamu na wanahitaji uangalizi. Ni kazi inayolipa sana na inahitaji moyo wa kweli kuifanya, hata reaction ya Zamaradi sikuipenda kwa kweli.
Mengine atasutwa na ndugu zake kwa uongo aliousema.