Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Friday, August 12, 2016

SUPRISE MOTHER DEAREST,JAG MÅ DU LEVA KÄRA MOR!!!


 SHE DID NOT KNOW THAT WE WERE COMING GUESS IF SHE WERE SUPRISED HAHAHHAH HERE T AM SCREAMING OH MY GOD OH MY GOD HAHAHAHAHA
NOBODY HAD CALLED OR ANYTHING SO SHE THOUGHT WE HAD FORGOTTEN BUT NO NO NO WE WERE PLANNING SOMETHING BIGGER,,,SUPRISEEEEEE!!!
ALIKUWA HAJUI KAMA TUNAKUJA SO ALIPATWA NA MSHANGAO TULIMSUPRISE ILIKUWA SIKU YAKE YA KUZALIWA,,,

 GARI LA KWANZA TULIINGIA WAKWANZA SASA HATUKUMWAMBIA KUWA NA KAKA YUKO NJIANI AKADHANI NI SISI TU MARA BAADA YA 20MINUTES VOILAAA MTOTO WAKE AKAINGIAAAAAAAA,,,FULL RAHAAAAAAAA!!!


 MABAWA CHEZA MABAWAAAAAAAAAAAA,,,

WE HAD PLANNED THE TRIP IN EVERY DETAIL,,
WE KNEW THAT THE 4TH IS HER BIG DAY HER BORNDAY,,
ALL THAT DAY WE DID NOT CALL HER AND PRETENDED AS IF WE FORGOT ALL ABOUT IT BUT SHE HAD NO IDEAAAA ON WHAT WAS COMING,,,
WE REALLY GOT YOU THIS TIME MOTHER DEAREST,,,

TULIKUWA TUMEPLAN KUMSUPRISE NA TULIJUA TAREHE 4 NDIO SIKU YAKE YA KUZALIWA,,
SIKU HIYO HATUKUMPIGIA WALA NINI AKADHANI TUMEMSAHAU HAHAHAHAH
WELL USIKU KILICHOTOKEA MNAKIONA HAPO JUU KWENYE PICHA.,
KIUKWELI TULIMUWEZA SHE HAD NO IDEAA YAANI HAKUHISI WALA KUJUA KUWA TUTAMSUPRISE HAHAHAHHAAH KUNA WAKATI TUPO ANATUTIZAMA HALAFU ANASEMA HIVI NNAWAONA AU NINAOTA HAHAHHAAH SO FUNNY
 EN LYCKAD ÖVVERASKNING,,JAG MÅ DU LEVA KÄRA MOR!!!

8 comments:

Anonymous said...

Dah, Nuru uvumilivu umenishinda niunganishe kwa kaka ako jamani khaa,huyo Eli sijui nimezimika nimekufa.
Nna passport usijali,sijafika above thirty sio mpenda makuu,najua kupika kufua kudeki etc.
Nna elimu ya Masters(MBA) englis na swahili very fluent,hata mkitaka nisome ki swedish msijali mimi ni fast learner.
Mahari msihofu ntawaombea discount kwetu.
Khaa kweli niunganishe aisee.
Sina makuu sina ma group friends wala nini,mwambie i know i love him before i met him.. :)

Anonymous said...

Wow nice suprise anaonekana kafurahi dah Nuru una makaka handsome kishenz hongera mama katoa vitu vikali

Anonymous said...

Wote watoto wazuri kwenu na inaonyesha mna upendo sana La Familia
Happy birthday to mama dearest

Anonymous said...

Hahaha Mdau wa 9:21AM UZALENDO KWANZA! SAFI SANA NIMEIPENDA HIYO
GOD BLESS THIS HAPPY,LOVING FAMILY,ALL THANKS TO THEIR BELOVED MOTHER WHO RAISED THEM WELL AND AS ONE.LONG LIVE MAMA NURU THE LIGHT

Anonymous said...

Happy Birthday to Mama. Tunamwombea mingine mingi yenye upendo, furaha na Baraka tele.

Anonymous said...

Mdau wa 9:21AM umenichekesha sana, mimi nimependa cv yako. I hope wifi to be amekuelewa sasa kazi kwake. Happy birthday mumiake Nuru. Mungu akujaalie maisha marefu yenye furaha na amani. Awajaalie na watoto wako wazidi kupendana na kushikamana.

Anonymous said...

Wow!!! Hili bonge la surprise kwa mzazi, kafurahi mpaka basi.... Mshalipuka hiyo cheza sasa, hahahahahah!!!!!
AM...

NURU THE LIGHT said...


Wifi nimekuelewa ntatoa salama na kufikisha ujumbe,,hahahah eti sina makundi hahahh i love him before i met him umeuwaaaaaa

wengine wote ahsanteni kiukweli alifurahi mnoo,,