Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Saturday, August 27, 2016

SOMETIMES WHEN THEY SAY THEY HATE YOU AND DESPISE YOU DEEP DOWN INSIDE IS BECAUSE THEY ADMIRE YOU AND WISH THAT THEY COULD BE EVEN HALF OF WHO YOU ARE!!!







UNATAKA UTAJIRI BALI HUTAKI KUJITUMA,,
UNATAKA KUVAA VIZURI NA KUISHI MAISHA MAZURI BALI HUTAKI JITUMA,,
UNATAKA VYENYE BEI NA VINAVYONG!A BALI HUTAKI KUJITUMA,,
UNATAKA KULA RAHA ZA MAISHA BALI HUTAKI KUJITUMA,,
UNATAKA KUMTUMIA BINADAMU MWENZAKO KUPATA HAYO YOTE BILA KUJITUMA  UNATEGEMEA NINI NA HATA UKIFANIKIWA UTAKUWA UMEPATA NINI?

UNAPENDA KUWASEMA WALIONAVYO BALI KWA KUKOSOA,,
UNAPENDA KUTAJA MABAYA YA WALIONAVYO BALI KWAVILE WEWE HUNA,,
UNAPENDA KUMINIMIZE JUHUDI ZA WALIOFIKA KABLA YAKO JUST SIMPLY BCOZ,,
UNAPENDA KUSEMA KAULI YA NASUBIRI WASHUKE TU AS IF UNAWAKOMOA,,

KUWA MWANADAMU MWENYE GOALS,NDOTO NA SPIRIT YA KUTOKATA MOYO,,
HATA KAMA HUKIONI LEO USIKATE MOYO IT JUST MEANS MDA WAKE NI BADO,,
BINADAMU TUNATOFAUTIANA LAKINI NANI KASEMA HUWEZI NA UKAMUAMINI,,
SOMETIMES USIPOTEZE MDA WAKO KUTAMANI CHA MWENZAKO WAKATI MUNGU KAKUANDIKIA KINGINE BALI WEWE UKO SO BUSY KUTAMANI KILE KISIO CHAKO TO BEGIN WITH,,
ANDIKA KITABU CHA MAISHA YAKO KWA MDA WAKO,NDOTO ZAKO,MATUMAINI YAKO,MADHUMUNI YAKO,MAPENDEKEZO YAKO,UJASIRI WAKO,UBUNIFU WAKO,MITIHANI NA MAFANIKIO YAKO BALI MAKE SURE NI HISTORIA YAKO AMBAYO HATA UKIONDOKA MTU AKISOMA KITABU CHAKO KITAMUINSPIRE KUTAKA KUFUATA JAPO MOJA AU MAWILI YA NJIA ULIZOPITIA,NIMEMALIZA.COM!!!


No comments: