Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Tuesday, August 30, 2016

SKY IS THE LIMIT MY FRIEND,SHERIA NGOWI!!! A COUPLE OF WEEKS AGO I POSTED SHERIA NGOWI!S NEW COLLECTION IN HERE AM GONNA SAY A COUPLE OF THINGS ABOUT MY DEAR FRIEND SHERIA,,
WHEN I STARTED BLOGGING SHERIA WELCOMED ME WITH OPEN ARMS AND HE GAVE ME THE PROPER ADVISE ON HOW TO HANDLE THE PRESSURE,THE NEGATIVITY AND HATE AND ALL I CAN SAY HIS ADVISE CAME TO USE EVERYTIME,,
HE IS NOW A WELL KNOWN DESIGNER WITH A COUPLE OF COLLECTIONS BEHIND HIM AND THE PEAK WAS WHEN HE DID NEW YORK FASHION WEEK AND ALL I CAN SAY IS THAT I AM VERY PROUD AND I TOO GET INSPIRED BY YOUR WORK ETHICS,DETERMINATION AND DISCIPLINE.
SHERIA NGOWI NI RAFIKI YANGU WA SIKU NYINGI TU NA URAFIKI WETU ULIANZA NILIVYOFUNGUA BLOG YANGU KIUKWELI SHERIA ALINIPOKEA KWA MIKONO YOTE NA AKANIPA USHAURI KUHUSU KU HANDLE PRESSURE,CHANGAMOTO NA MENGI NITAYOKUTANA NAYO KAMA BLOGGER,,
AMEKUWA AKINI SUPPORT NA MIMI PIA ILA NATAKA KUMWAMBIA KUWA ANANIINSPIRE MAANA KASHAFANYA COLLECTIONS KADHAA SO NIKIONA ALIPOANZA NA ALIPOFIKIA SASA NAJUA KUWA SKY IS THE LIMIT,,
KUNA WAKATI GROUP FLANI WALIKUWA WAKINITUKANA SANA HUMU KWA SABABU TU NLIKUWA NAMPOST SHERIA NAWAJUA NA  MNAJIJUA ANYWAY KILA LA KHERI KATIKA SAFARI YAKO KAMA MBUNIFU NA ENDELEA KUPEPERUSHA BENDERA YETU,ONE LOVE!!

No comments: