Genuine Nordic Vodka
Wednesday, August 17, 2016
OH WALIMWENGU!!!
WIVU,WIVU,WIVU NA ROHO MBAYA,PERIOD!!
MLITAKA AVAE NINI WAKATI YUKO NA MUME WAKE AND HE IS OK WITH IT,,
HIVI HAMCHOKI AU HAMJIONI WA AJABU MKIKOMENT VITU VYA KIJINGA,,
NIMEONA SEHEMU NYINGI MKIMNANGA HUYU DADA AISEE MNA KAZI TENA SI NDOGO AU MNAMTAKAHUYO MCHUNGAJI ILA HAKUWACHAGUA NYIE GEEEZ!!
HIVI HAMJUI SOMETIMES MNAJIZIBIA RIZKI KWA KUFUNGUA KINYWA TU LET ALONE KUANDIKA KITU KITACHOKAA MAISHA,,
SHAME ON YOU TENA MNAONEKANA WA AJABU TUU,,AISEE MNASIKITISHA SANA IMAGINE MNGEKUWA MAMA WA HUYU BINTI NA ANASOMA MLIOYAANDIKA ATAJISKIAJE NDIO KWANZAAA NDOA HAINA HATA WIKI MUNGU WANGU,,
AT TIMES KAMA HAMNA JEMA LA KUONGEA KAENI KIMYA TUU SHIT KUNA WATU MNAWASEMA WANATUKANA WATU BUT YOU ARE NO DIFFERENT,,
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
3 comments:
Yani shame on them, bado ni vijana hayupo uchi at all, very decent mdada wa watu compared to these half naked women we see on social media daily na ndo wakwanza kucomment you look beautiful, mxiuuuuuu
Sema wewe mijitu badala iwavamie kina kutwa kupoz uchi wanamvamia dada wa watu haya ma roho ya kwanini haya halaf the light umewagusa ndimana kimya mfyuuuu
Kwa hiyo ukiwa Mama Mchungaji unatakiwa uvae vitenge beach tena vya mikono mirefu, watu hawakosi la kusema hapo hayupo kanisani wanaenda zao kwenye fungate na nguo yake ya staha tu. Washindwe na walegee
Post a Comment