Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Monday, August 22, 2016

New Week,New Episodes!!!
KAMA MTU ANA SUPPORT HIKI KUNA HAJA YA KUMWAMBIA TOFAUTI YAKE?
KAMA MTU MZIMA ANAANDIKA HADHARANI KUWA ANALELEWA AU MUME HAIBIWI KUNA HAJA YA KUMCONVINCE OTHERWISE?
KUNA VITU VINAJULIKANA WAZI KUWA SIO SAHIHI LAKIN MWANADAMU HUTAKA KUENDELEA AU KUJICONVINCE KWAVILE ANAKIFANYA NA KUTAFUTA SABABU ILI KUKIJUSTIFY KUWA KIKO SAHIHI WHILE NAFSI INAMSUTA NA KUJUA KABISA KUWA SIO SAHIHI,,ILA NENDA JUU CHINI,MBELE NYUMA  JUA KABISA MAAMUZI YAKO YANA CONSEQUENCES NA AT TIMES USIMKIMBILIE MUNGU YAKIKUKUTA WAKATI UKIFANYA NA KUITENDA ULIMSAHAU NA KUONA UKO NJIA SAHIHI,,
BABA YANGU ALINIAMBIA MWANANGU MUME WA MTU NA MKE WA MTU ANA UMA TENA SI KIDOGO BALI SANAAA,,
NA MWANAMKE PIA IFIKE MDA UJIFUNZE KUJITHAMINI MAANA MWANAUME WA HIVI ALOTEMBEA NA MJI MZIMA NI WA NINI HANA HATA HADHI YA KUITWA MUME MAANA HAKUHESHIM WEWE WALA NDOA YENU LET ALONE WATOTO WENU KAMA MZAZI USIDHANI UKICHEAT UNAMCHEAT MKEO AU MUMEO TU HATA WATOTO UNAWANYIMA HAKI YAO NA JE UNAWAFUNDISHA NINI KAMA MZAZI,,Sad!!

3 comments:

Anonymous said...

Hii post haitopata coment maana wezi mjini wengi wanaanzaje koment kwa mfano
Malipo ni hapa hapa duniani

Anonymous said...

kabsa Nuru umeongea ukweli mtupu,tamaa tu za dunianiani ndo zinatusumbuaa,,,,mara mia uwe kama mimi tu napita namchungulia kaka ake nuru naridhika basi kuliko kutibua moyo wa mwanamke mwenzio chaaaa.

anonyomous said...

iko siku atakuja kujuta always majuto ni mjukuu how dare unajitutumua kabisa kujibu upuuzi kwa mume wa mwenzio?