HAYA WEMA KAAMUA HAHAHAAHAH,,MCM STANDS FOR MONDAYCRUSHMEN!!
NLISEMA TAMTHILIA IMEANZA,,LEGOOOO!!
UNAMCOPY SANA BOSS WAKO MPAKA INAONEKANA WAZI JUST WORK ON YOUR IDENTITY AND ALL WILL BE FINE KAMA WATU 100 WAMELIONA HILO KWANINI USIKAE UKATIZAMA THE CLIP UONE NA UBADILIKE,,
WATU WANAKWAMBIA KWA MAPENZI NA SIO UBAYA,PERIOD!!!
2 comments:
Wakipata umaarufu kidogo wanajisahau hawataki kushauriwa.... Unabishanaje na mashabiki kwa mfano... Awe mbunifu zaidi aache kiburi hakitamsaidia
Nilisema akiwa Created atatoka ndukii lkn akiendelea Ku copy, atashangaa sana
Post a Comment