UKITAKA KUFUNGUA BIASHARA KWANZA UNATAKIWA UWE UMEJITAYARISHA KISAIKOLOJIA MAANA UNAHITAJI KUWA MTU MVUMILIVU NA SIO MKATA TAMAA
KINGINE LAZIMA UWE NA INTREST KUTOKA MOYONI NA ILE BIASHARA UNAYOTAKA KUIFANYA LAASIVYO,,
KUWA NA BIASHARA SI KITU RAHISI KAMA HUJA PITIA HUWEZI JUA ILA PIA WAPO WALIO NA BIASHARA ILA HAWANA VISION WALA MAPENZI NA BIASHARA ZAO,,
HONGERA MAMA OPEN KITCHEN NA WANAWAKE WOTE MLIOTHUBUTU NA HATA KUJARIBU KUWA NA BIASHARA,,
No comments:
Post a Comment