Wamekutwa wamama wakinyonyesha watoto wao huku wamekaa chini,,
Kama mtoto kaanza hivi ana future gani?Dah
INAHUZUNISHA,INASIKITISHA NA INATIA HASIRA KUWA WA MAMA NDIO KUNDI LINALOPATA SHIDA SIKU ZOTE NA LIKO VERY LOW IKIWA KWENYE KUWA PRIORITISED,,SO SAD!!!
4 comments:
Badala ya kuweka nguvu kwenye mambo kama haya wanakalia kupiga marufuku K.Y...
Wanatuzuga tu.
Sasa hawa watoto kwanza Njiti, then wanaishi ktk hali duni hivi? Kweli wata survive?
Serikali itwambie vizuri kipi muhimu kwa Wananchi? Ni kutubana ktk kuvunja tubiashara twetu au haya ya Elimu, Afya, then makazi tatafuata.
Tunaona mabilioni kila siku ktk magazeti ya Trafik na TRA yako wapi?
Tumuachie Mungu na wao viongozi.
Sisi tukubali matokeo tu.
Aisee, hail inasikitisha sana kwa ukweli. Hii serikali sijui inatupeleka wapi.. EE MOLA TUSAIDIE!!!!
AM....
Haya ni Matokeo ya serikalini iliyopita sio hii, hii hata mwaka ajamaliza madarakani, lakini imeweza tatua mambo mengi na yanaendelea kutatua , tofauti na huko miaka ya nyuma, serikaliilikuwa ni hopeless, wenyewe alafu kuwa kusafiri na kutibiwa huko njee kwa wenzetu wanakojijua serikalini ya sasa Ina changamoto nyingi kwa ajili ya msingi mibovu ya huko nyuma serikalini ya awamu ya nne iliyopita ilikuwa very hopeless, kwa kweli, tusifiche uovu au ujinga, angalia pale mihimbili ndio hospitali kuu ilikuwa hatarini, lakini sasa Ina uangalau kwa kweli hata wahusika wanajituma kwa sasa, wagonjwa wana vitandanda lakini huko nyuma heeee yalabi salaama wagonjwa walikuwa wamerundikwa tu kama majuni hamna anae jali, mnyonge mnyongeni sifa zake mpeni, magufuri angalau amejitahidi hata dawa zinapatikanika sasa, huko nyuma dawa zilikuwa hamna Kila kitu ni zzzzzz sana sana ufisa, wizi rushwa hmmmm Africa kazi ipo, weusi na roho nyeusi
Post a Comment