Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Sunday, August 21, 2016

FIESTA IMOOOOOOOOO IN MWANZA!!!

 MR BLUE,,
 SHILOLE,,
 RAYMOND,,too much Hawaii vibes
 MDEE hata sijui kavaa nini,shuka au why go onstage looking like mganga wa kienyeji au Casper the ghost,,,
 DAYNA I LOVE YOU BUT  Acha KUMKOPY VEE MONEY,find your own Identity and I know Unaweza

 NAVY KENZO
 FID Q AND STAMINA


ALIKIBA MUTOTO YA MASUPRISE,,MZEE KIMYA KIMYA
 AIKA I LOVE YOU BUT THIS OUTFIT IS SO WRONG FOR YOUR BODY,,HAIJAKUKOMPLIMENT KABISA yeye kabuniwa na stylist wake JOJO but sio kidoti,,
SHILOLE DRESSED BY KIKI ILA NOO,,HUYU SIO VEE LAZIMA ADIZAINIWE KITU KINACHOENDANA NA MWILI WAKE,,gauni alolivaa mchana lilimpendeza sana pia by KiKi

No comments: