IMAGES BY Swahili Times
WAKATI WA UCHAGUZI EXACTLY THIS TIME AROUND MWAKA JANA NILIKUWA TANZANIA AND HAMNA SEHEMU ULIKUWA UKIENDA WATU HAWAJAKAA NA KUONGELEA UCHAGUZI,,
MWEZI WA KUMI WATU WALITAKIWA KUPIGA KURA SO BY TIME HII CAMPAIGN ZILIKUWA ZISHAANZA NA KUPAMBA MOTO PANDE ZOTE ZA VYAMA,,
SI ACT,SI CCM,SI CHADEMA WOTE WALIKUWA KWENYE CAMPAIGN,,
AS MIMI NILIKUWA NIKO KWENYE L MOVEMENT YANGU NIKIPIGA MY ROUNDS KWENYE MEDIA HOUSES TOFAUTI NA NENO UCHAGUZI NA KURA VILIKUWA SAMBAMBA BUT JINA LA MAGUFULI NA LOWASSA LILIKUWA EVERYWHERE,,
BY AUGUST ILIKUWA WAZI KABISA THE SUPPORT THIS MAN HAD KUTOKA KWA WANANCHI HIO ILIKUWA WAZI KABISA,,
NA KILA SEHEMU ULIKUWA UKISIKIA STORY TOFAUTI NA KILA MTU KUWA NA LAKE LA KUCHANGIA,,
SOMO NILILOJIFUNZA AMBALO SIO GENI KWANGU NI MDA,,
MDA HUTUONYESHA MENGI SANA NA KUTUFUNZA MENGI,,
SAME TIME LAST YEAR HUYU BABA ALIKUWA AKITUKANWA SANA,,
SAME TIME LAST YEAR HUYU BABA ALIITWA MGONJWA NA VINYWA TOFAUTI,,
SAME TIME LAST YEAR MLIFIKA MPAKA STAGE YA KUSEMA KAJINYEA HADHARANI,JIWEKE TUU KWENYE KIATU CHAKE EVEN FOR A SECOND PALE MTU KAKUSINGIZIA HILO,,
SAME TIME LAST YEAR HAKUNA NENO HAKUITWA HUYU BABA NA MDA WOTE HUO ALIKAA KIMYA,,
ILPOFIKA TAREHE YA KUPIGA KURA WATU MLIENDA NA KUPIGA KURA NA KILA MTU ALIMPIGIA YULE ANAYEMTAKA NA KUHISI ATAKUWA AU ATALETA MABADILIKO,,
BAADAYE CCM WAKASHINDA NA JOHN POMBE MAGUFULI KUINGIA MADARAKANI,,
MWAKA SASA KARIBU UNAKARIBIA LOWASSA IS YET AGAIN MAKING THE HEADLINES NA #UKUTA,,
KWANI SIE HUYU MLISEMA ATAKWISHA ASIPOSHINDA??
KWANI SIE HUYU MLISEMA AENDE AKACHUNGE NG!OMBE AKISHINDWA?
KWANI SI HUYU MLISEMA MENGI AMBAYO YOTE MNAYAJUA SASA INAKUWAJE TENA MNAMUONA NDIE MKOMBOZI WAKATI MLIMUACHA WAKATI ALIKUWA ANAWAHITAJI THE MOST?
SOMO NILILOJIFUNZA NI KUWA UKISHAJITAMBUA WEWE NI NANI NA UNATAKA NINI MAISHANI NA UKATHUBUTU KWAKUJUA UNAWEZA NA HATA KIKASHINDIKANA IT IS OK MAANA ULIJARIBU NA KWENYE MASHINDANO KUNA KUPATA KA KUSHINDWA,,WELL AND GOOD!!
KINGINE WAKATI UPO KWENYE HARAKATI ZAKO ZA KUTIMIZA NDOTO YAKO VITATOKEA VIKWAZO VINGI KUKUFANYA UPOTEZE NJIA LAKINI UKIWA NA MSIMAMO BASI HATA WASEME NINI KAMWE HAVITOKUTIKISA,,
DONT EVER WASTE TIME BY KUJIBU,AU KUPIGA MAKELELE KWANI UNAAMBIWA OGOPA SANA UKIMYA WA MTU KULIKO MAKELELE YAKE,,
UKIMYA HUBEBA VITU VINGI SANA NA UKIMYA HAUWEZI KAMWE KUUNUKUU,REMEMBER THAT!!
YOU SEE SOMETIMES PEOPLE HUCHUKULIA UKIMYA KAMA UWOGA MY FRIEND HAHAHA OGOPA TENA NARUDIA OGOPA SANA UKIMYA WA MTU KWANI HUBEBA VITU AMBAVYO VITAKUCHUKUA A LIFETIME KU GUESS VINA NINI,,
GREAT THINKERS WERE NEVER TALKATIVE THEY LET THEIR WORK SPEAK ITS OWN LANGUAGE,
AHSANTE KWA KUNIFUNDISHA KUWA NO MATTER WHAT INUA USO WAKO JUU NA MABEGA HALAFU USITIZAME KULIA WALA KUSHOTO BALI TIZAMA MBELE TU,,
IN 2013 WALINIZUSHIA MENGI NIKAAMBIWA KAA KIMYA AND YES 2016 WALIRUDI WENYEWE NA KUSEMA NAAM TULIKUSINGIZIA SO YOU SEE MDA HUTUFUNZA MENGI NA KUTUONYESHA A TRUE CHARACTER YA MTU,NIMEMALIZA.COM!!
4 comments:
Nuru nikimfikiria huyu baba kila mara natokwa chozi kwa maneno mabaya waliyokuwa wanamrushia. ni kweli ulivyosema hebu mtu ajaribu kuvaa kiatu chake asikie maumivu ya matusi yote hayo. watu walimuundia vikundi vya kumchafua kwa kila njia ila leo hii wanamuona ni bora zaidi. watu kwa nini hawakufikiria toka mwanzo, watu kwanini hawaoni mbele, sasa wanaanza kuogopa operation UKUTA, wanaanza kuwanoa polisi na jeshi, for what now? kama walijiona ni washindi kwanini wanaogopa UKUTA? na jana nimesikia kwenye news mikutano yote na hadhara na ya ndani imezuiliwa, why? where is democracy, democracy, democracy? ooh dia am tired, NURU ishi huko huko uliko huku TZ hakufai tena.
Nuru una kitu cha ziada wasokujua wakujue sasa. Umeongea kweli tupu tatizo la wabongo wengi wanapenda ushabiki na kukurupuka..
Nuru umeongea mpaka mwili umenisisimka kiukweli umenena na umenifunza hata mimi
soon kitchen party, vikao vya matanga vya familia vitahitaji vibali vya polisi. Huko ni kutojiamini kwa hali ya juu wataingilia hadi mikutano ya dini. Baba wa watu akialikwa popote wanamzuia wanaogopa nini si wako madarakani what is their problem?
Post a Comment