I guess hii ni wiki ya Huddah kurushia watu madongo maana alianza na Vera sasa nahisi vile Vera kaalikwa kwenye Birthday ya Tiffah naona bibie imemuuma aisee kuna watu ushamba na utoto uko damuni anyway snapchat Huddah KAAMUA kusema kwamba D ni property ya wote na ashaionja huku akikaa na kula meza moja na Z,,
Huddah:Pale unapodhania wako kumbe ni wa wote,,Nawaoooo
Naomba niyaweke moyoni maana some things yasome na kuyaacha hapo hapo ila sentesi ya KUMUITA D ni katoto unakaorder kama pizza😲😲😲
1 comment:
ndo maana mimi ushosti unaishia kwa mama yangu only....wengine ni kuchorana na kuchotana akili
Post a Comment