Genuine Nordic Vodka
Saturday, July 2, 2016
PEOPLE ARE MAD!!!
HIVI NIULIZE MTU MWENYE KAZI YA KUFAGIA AU MWENYE SHUGHULI PERIOD ATAKUWA ANA MDA KWELI WA KUKAA IG NA KUTUKANA WATU NA IF ATAKUWA ANAFANYA HIVYO NI MTU KWELI HATA WAKUMMIND SI INAMAANA ANA STRESS ZAKE?
KINGINE PIA NI KUJUA KWAMBA KUNA VITU UKIFANYA KAMA UTANI PIA INAWEZA KUSOMEKA KAMA DHARAU KAMA HII CAPTION?
THERE IS A FINE LINE BETWEEN UTANI NA DHARAU NA HII WENGI WAMEISOMA KAMA DHARAU NAHISI NDIOMAANA WAMEKASIRIKA NA KUMTUKANA SANA ZARI NA WOLPER Na kudhania wenye kazi nzuri hawawatukani pia ni Ignorance jamani WIVU hauna sura,elimu,status,uanamke,uanaume wala umri na kama mtu ana fagia kujitegemea au kulea familia yake ni Tamsalute na kumuheshim all day everyday,nimemaliza.com!,
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment