OK SO KANYE WEST ANAWIMBO AMBAO ANASEMA NENO BITCH HUKU AKIMUIMBA TAYLOR SWIFT SASA KUMBE ALIMPIGIA SIMU NA KUMUOMBA RUHUSA NA MWENYEWE AKAKUBALI KUMBE KIM K ALIREKODI CONVERSATION YAO WAKATI WAKIONA SASA NYIMBO ILIPOTOKA TAYLOR AKA BADILIKA AS IF HAJUI CHOCHOTE NA KUANDIKA NDIO KIM AKASEMA KWENYE INTERVIEW MBONA ALISHAKUBALI KWANINI LEO ANAACT SUPRISED SASA NAONA LEO KAACHIA THE VOICE NOTES NA BADO TAYLOR ANAKANUSHA ILA SS ANASEMA ALIKUWA HAJAISIKIA NYIMBO HAHAHHAHAHAHAH OH TAYLOR
CALVIN HARRIS ALIKUWA BOYFRIEND WA TAYLOR SASA WAMEACHANA NA TAYLOR YUKO NA MTU MWENGINE CHAKUSHANGAZA TAYLOR KASEMA YEYE NDIO MUANDISHI WA NYIMBO YA CALVIN FEAT RIHANNA THIS IS WHAT YOU CAME FOR NA CALVIN KUMUWEKIA,,
SIO SIRI NI KWAMBA TAYLOR ANAPENDA SANA KU PLAY THE VICTIMS WHEN SHE ISNT,,,
1 comment:
she likes being viewed as a "good girl" when she has f***d half the men in the entertainment world...lol..she should tear down that good girl image... Miley Cyrus already told her to do that but she don't listen loool
Post a Comment