BI SANDRA
ABBY PLAATJES
Kama Tanzania itaendelea hivi kuwa na wabunifu ambao wako makini na kazi zao basi in the next 3 years tutavuka mipaka ila haiTowezekan kuwa hivyo bila sisi wenyewe kuanza kuwa wateja meaning kusuport by kununua BIDHAA zao na wao kuweza kukuza kampuni zao na kuwa a Brand ambayo itajulikana kimataifa,
Mwanzoni na najua for a fact nimebadilisha watu wengi na kusaidia sana tena mnoo kuipa heshima fashion industry ya Tanzania maana nilikuwa na blog sana kuhusu wanamitindo,wabunifu na mambo mengi kuhusu Fashion na mpaka leo bado mimi ni waziri mzuri tuu sana lakini cha kushangaza nikaja kujua kuwa kumbe na huku ni yale yale?
Nakumbuka mara kadhaa mimi na Sheria Ngowi tumeongelea hili maana hata yeye haikuwa easy for him alipotoka India na kurudi Tanzania aisee Sheria ni mtu ambaye hata nikivyoanza kublog alinisapoti sana na kuna vitu aliniambia sita sahau mpaka naingia kaburini same as Marehemu Kanumba,,
Wanaingia humu na kutizama maana kuna watu leo wako nominated kwenye swahili fashion week its because walikuwa feautured in here na kupata plattform na airtime which mimi wakishinda huwa NAFURAHI sana na these individuals kiukweli wamenionyesha love na shukrani kwangu which to me huwa inatosha ila huwa nacheka kila mwaka i go lije where is my nomination kwenye swahili fashion hahhaahhahhh mbuta nanga aaaaaaaaaa kurumanji knaaas,,
Whats happening kwenye fashion industry Tanzania ni kama virus ya kwenye music industry ya Tanzania ni kwamba kuna wachache walioishika na hawajui tuu how much wanaharibu soko na kuzuia kukuza kwa soko in both music and fashion yaani msijidanganye kuwa tumefika bado safari ni ndefu sana kwasababu tu ya few individuals meaning watu na ndiomaana at times mkiongea nakaa kimya nawatizama kwani najua nitayaongelea yote kwenye kitabu changu ila nimegundua kitu kuwa Watanzania mnathamini sana uwongo kuliko ukweli hili ntaliongelea zaidi siku nyingine kwa sasa NAFURAHI kuona madesigner wapya wanaojitokeza,,All the best guys!!
No comments:
Post a Comment