Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Saturday, July 23, 2016

JACQUELINE WOLPER ARUDI RASMI CCM LEO HII,ALWAYS MUOGOPE BINADAMU ASIYEKUWA NA MSIMAMO ANAWEZA KUFANYA LOLOTE KWA CHOCHOTE!!!

KILA SIKU HUWA NASEMA MUDA HUTUONYESHA MENGI NA KUTUFUNZA MENGI,,
SIKUTAKA NIONGEE MPAKA NIHAKIKISHE KUWA NI KWELI MANINAAA MTOTO MKAVU KASIMAMA KAMA SIO YEYE AKITAMKAKAMA NILIPOTEA BASI NILISHAWISHIKA TU HAHAHHAHAHAHAH HUKU JAKAYA AKIAMBIWA ANAPENDWA SANA SANA SANA MAZAUIGIZAJI THE SAME GOT DAMN SPEECH WAKATI ALITOROKA NA KWENDA CHADEMA YAANI HAWAJUI WANAVYOHARIBU SIASA NA MSIMAMO WA WATU,,
KILA MTU ANA MAAMUZI YA KUCHAGUA CHAMA CHOCHOTE BUT THIS CLEARLY SHOWS HUU NI MCHEZO TU NA HAUHITAJI HASIRA ILA THIS IS PEOPLE!S LIVES THAT WE ARE TALKING ABOUT,,
SIASA NI MAISHA YA MTANZANIA NA NDIOMAANA WAKATI WA CAMPAIGN NILIKUWA NA TOA SOMO ILI NYIE WENYEWE MCHAGUE MNAYEMTAKA WHETHER NI MAGUFULI AU LOWASSA AU CANDIDATE MWENGINE SASA MWANADAMU YOYOTE YULE AKISHAKOSA UAMINIFU KWENYE JAMII YOU ARE FINISHED NA THIS IS WHAT HAPPENED TO WOLPER ASIDHANI LEO Kuwa AMESHINDA NO NO NO LEO KAONYESHA KITU AMBACHO KITAITIA DOSARI JINA LAKE,BRAND YAKE,MASHABIKI WAKE KWANI AKUMBUKE ULE MSIMAMO ALOUONYESHA THEN NDIO KITU KILIMFANYA AGAIN MASHABIKI WENGI ZAIDI NA KUWA A HOUSE HOLD NAME KWANI ALIBEBA WENGI WALIOHISI WANATAKA MABADILIKO LAKIN LEO HII KAWASALITI BY KUSEMA ALIPOTEA NJIA KWANI ALIKIBA ALIPOIMBA UCHUNGU WA MWANA AJUAYE NI MZAZI NA ALIMWAMBIA MWANA ARUDI NYUMBANI KWANI WAZAZI WATAFURAHI KUKUONA KWAKUWA UMEREJEA SALAMA ILA MIMI NAMUULIZA JACQUELINE MALI SI ZILIKUWA NYINGI NYUMBANI SASA KIPI KILIKUKIMBIZA?
ULIJIITA JACQUELINE LOWASSA NA KUMUITA DADDY,,MAZA-NO-AIBU!
ILA WATANZANIA MNAPENDA SANA UWONGO NA KUUTHAMINI KULIKO UKWELI KWANI WATANZANIA HUWA WANASAHAU UPESI SANA SO SITOSHANGAA HATA AKIRUDI POPOTE KULE NA KUANZA BLA BLA BLA NA WATU KUMPOKEA,NIMEMALIZA.COM!!

6 comments:

Anonymous said...

Njaa njaa njaa siamini nachokisoma karudi??

Anonymous said...

Jinsi ulivyoiandika hii post unaonesha ni jinsi gani amekukera kwa maana sio kwa uandishi huu.

Anonymous said...

No way!!!!!! Haiwezekani, watu wamekosa haya kabisa, leo kamkana Daddy wake. Jacqueline Lowassa my ass!!!!
No wonder kila siku mnabadilisha dini amjui nini mnataka hapa duniani, ata bendera inamsimamo. Fake everything
AM....

Anonymous said...

Ndio maana wanachezewa....hawana msimamo wa maisha hawa, leo mara kanisani kesho msikitini...hawajui ata nini wanataka duniani.
Elimu Elimu,
AM..

NURU THE LIGHT said...

AM NAOMBA TUKAOGELEEEEEE HUU MCHEZO HAUHITAJI HASIRA HAHAHA
Hajanikera Bali kajiuwa mwenyewe na kujiharibia na kingine next time msanii yoyote yule hatotumika tena kwenye campaign since wanaonyesha Zero msimamo inasikitisha na always muogope mtu asiyekuwa na msimamo they are ca pale of doing chochote kwa lolote somo la bure la leo,,
AM naomba tukaogeleeeeee shoga angu maana chai hii ina moto sana hahaha

Anonymous said...

hahahahahah!!! Well said Nuru, ngoja nimtafute Faiza Alli beach baby nipate bikini twende zetu. Huu mchezo hauhitaji hasira...
Tumejifunza mummy sio utani.
AM...