Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Monday, July 18, 2016

HUDDAH VS VERA!!!

HUDDAH 





THE TEST RESULTS,,
VERA SIDIKA,,

THESE ARE TWO SOCIALITES FROM KENYA WHO GOES BY THE NAME OF HUDDAH AND VERA,,
THEY HAVE BEEN BEEFING FOR QUITE SOMETIME NOW BUT TODAY IT TOOK IT!S
PEAK WHEN HUDDAH THROUGH HER SNAPCHAT SPOKE OF VERA HAVING AIDS ATLEAST WHAT SHE CLAIM!S WHICH VERA TOOK UPON HER AND GOT A TEST WHICH SHOWED THAT SHE IS HIV NEGATIVE,NOG OM DET!!!

HAKUNA KITU KINANIUDHI NA KUNISIKITISHA KAMA MTU AKIMSINGIZIA MTU KITU CHA UWONGO AU KUMKEJELI MWENZAKE KUHUSU UGONJWA,,
HIVI DUNIA YA LEO BADO WATU WANSHANGAA MTU KUWA NA UKIMWI,KWELI HICHO NI CHA KWANZA,
CHA PILI NIMEGUNDUA LEO KUWA BADO MTU AKIWA MSHAMBA AU LIMBUKENI BADO ATABAKIA KUWA MSHAMBA HATA AENDE WAPI NA KUWA NA UTAJIRI GANI AU ELIMU YA AINA GANI,,
HAWA WATU WAWILI NI WALIMBUKENI NA WAMEIJUA PESA NA NDEGE UKUBWANI
KINGINE HUDDAH HAKUWA NA HAJA YA KUMSINGIZIA MWENZAKE KUHUSU UGONJWA NA VERA HAKUWA NA HAJA YA KWENDA KUJIPIMA KUPROVE ILA THEN AGAIN KAZI WANAYOIFANYA ILIMBIDI MAANA ATAPATAJE WATEJA WAKIJUA KUWA AMEATHIRIKA NA UKIMWI,,
MY POINT NI KWAMBA UKIMWI UPO NA WATU WANAKUFA KILA SIKU HILI NI JANGA NA SIO KITU CHA KUTANIA AU KUKEJELI,,
NIMELOOSE NDUGU AMBAO WALIFARIKI KWA UKIMWI SO I DON!T TAKE IT LIGHTLY
NINA MARAFIKI SWEDEN AMBAO WANA HUU UGONJWA GOOD THING HUKU WANAJALIWA NA KUISHI MAISHA MAREFU KULIKO HATA WALIO HIV NEGATIVE,,
NINA NDUGU YANGU AMBAYE NI DAKTARI TANZANIA NA AMECHUKUA PHD YAKE HAPA SWEDEN SO NLIKUWA NAE NA THESIS YAKE ILIKUWA INAHUSU UKIMWI NA VACCINE AMBAYO WAKIITEST HAPO NDIO NILIKUJA JIFUNZA MENGI ZAIDI KUHUSU HIV NA HOW BIG HUU UGONJWA IS ESPECIALLY THE AMOUNT OF PEOPLE WANAOKUFA TANZANIA,,
MORE PEOPLE ARE DYING OF MALARIA HIVI MNAJUA HILO SO WHAT IS UKIMWI 2016?
CHA MSINGI WATU KAMA HAWA NDIO WANATAKIWA WAELIMISHE NA KUTOA THE SHAME KUHUSU HILI JANGA AMBALO LINAWEZA MPATA MTU YOYOTE,,
YOU REALLY DISSAPOINTED ME HUDDAH I THOUGHT KWA MAISHA UNAYOISHI WEWE NDIO UWE WA MWISHO KUMHUKUMU MTU ANAYEISHI NA UKIMWI,NIMEMALIZA.COM!!

1 comment:

Anonymous said...

Duu, kazi kweli kweli
Nuru umenichekesha Eti bila kuweka HIV results, biashara itayumba...hahahahahahahahah!!!!
Bila kufanya hivyo wee tutapandaje first class,
AM....