Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Monday, July 18, 2016

AND THE SAGA CONTINUES!!!






AS A COMPANY THIS IS NOT A GOOD LOOK NEITHER FOR YOU AS A COMPANY OR YOUR EMPLOYEES BUT MOST IMPORTANTLY THIS IS ABOUT TRUST NA KAMPUNI IKISHAKosa UAMINIFU KWENYE JAMII NA WATEJA WAKE MTALOOSE BIG TIME
NINGESUGGEST MUANZE NA WAFANYAKAZI WENU KUWAPA SOMO ABOUT PRIVACY KWANI KAMA MTU KAWEZA KUFANYIWA HIVI KIURAHISI HIVI MTU ATAPENDA KUWA MTEJA WENU KWELI?
KUMBUKA KUWA MTEJA AKISHAKUWA NA DOUBT KUHUSU MAMBO YAKE KUWA WAZI BASI TENA HATOTAKA KUWA MTEJA TENA SO I SUGGEST KAMA KAMPUNI MUWEKE A BIG EFFORT IN THIS ILI WATEJA WENU WASIWE NA WASIWASI BALI WA FEEL SAFE KUWA MTEJA WA VODACOM!!

4 comments:

Anonymous said...

SHE HAS A POINT AND A GOOD CASE IN HER HANDS....KWANNI HUYU BABA SASHA ANAMUANDAMA SANA HUYU DADA? kWANI Kuzaa na mtu ndo sababu ya kumkosesha amani na maendeleo yake? jamani kwanini wanaume wa kiafrika wanyanyasaji hivi?

NURU THE LIGHT said...


Nina kaka ambao ni wanaume na waafrika so ntajaribu kujibu swali lako kwa jicho la tatu,,
kuna wanaume ambao wanamentality ya ajabu sana ndio mnaita mfumo dume ss ukikutana na mwanaume wahivi aisee either mkimbie ukiona signs mapema ila kwenye case ya Faiza this is a typical mfume dume man in her hands,,
angekuwa na uwezo ahame nchi tuu,,

Anonymous said...

Mwanzoni nilikuwa nahisi labda Faiza ni kelele zake tu watoto wamjini wanaita kiki, kama ni kweli huyu Baba hataki kumuona
huyu mzazi mwenzie akijiendeleza kimaisha. Anataka kila siku Faiza aende kumlilia anashida ya kodi au ada ya shule ya mtoto.
Roho inamuuma kuona Faiza yuko happy bila yeye. Na huyu ni bahati anaogapa siasa bila hivyo angemsumbuwa sana Faiza.
AM.....

Bintinyota said...

Nuru si darasa tu. Wapi TCRA? Au wapo kubana wanachi WA chini tu? Hii ni Criminal Case!! Ukimtukana MTU tu uko jela. VIP MTU abadiri no yako? Why tunasajiri? Why kuna system? Mxxxxxxx hawa wote jela. Huyu Sugu, imekuhuhu