HALF BROTHER WA OBAMA ATOA SUPPORT KWA DONALD TRUMP NA JAPO KUWA HAWEZI KUPIGA KURA NA KADHALIKA HIKI KITENDO CHA YEYE KUMPA SUPPORT NI UPUMBAVU TOSHA AND THEN YOU GOT WATU WEUSI OHH KILA MTU ANA HAKI NA UHURU WA MAWAZO YAKE OH DEAR BLACK PEOPLE SIJUI MTAAMKA LINI BADO MMELALA NA NDIO MAANA MTAENDELEA KUTAWALIWA,KUNYANYASWA NA MENGINE MENGI KWAVILE HAMJITHAMINI AISEE KICHA CHA HABARI TU KIMENISIKITISHA SIKUTAKA HATA KUSOMA ZAIDI ILA LAZMA USOME UELEWE KUWA ADUI WA MWAFRIKA NI MWAFRIKA MWENYEWE NA MKOMBOZI WA MWAFRIKA NI MWAFRIKA MWENYEWE,NIMEMALIZA.COM!!!
1 comment:
Attention seeker old fool...
AM..
Post a Comment