Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Thursday, July 21, 2016

A VERY LATE POST;YET AGAIN YOU HAVE ASKED ME FOR WHICH SKIN PRODUCTS THAT AM USING SO HERE IT IS!!!


ASUBUHI NA APPLY HII NA KUOSHA USO BUT UNAWEZA IPAKA NA KUSUGUA TUU KWA MDA WA DAKIKA TANO KUTOA UCHAFU NA UKIWA NA PIMPLES IPAKE KWENYE AREA YA PIMPLES NA KULALA NAYO AU HATA KAMA UNAFANYA KAZI ZAKO IPAKE MCHANA HALAFU KUOSHA BAADAE,,
NIKKIWA NAJARIBU KITU KIPYA HATA KIKINIHARIBU USONI HUWA ALWAYS NARUDI KWENYE HII PRODUCT FOR EXAMPLE KWA SASA NATUMIA BLACK SOAP NA IT WORKS OUT JUST FINE SO I COMBINE ZOTE,,


VICHY IS ONE OF THE BEST SKINCARE PRODUCT BRAND OUT THERE IF NOT THEE BEST BUT AVEENO IS ALSO A VERY GOOD SKIN CARE BRAND SO I HIGHLY RECOMMEND BOTH OF THEM,,

KWENYE MWILI THIS IS WHAT I USE KWA SASA MAANA KUNA WAKATI BARIDI ILIHARIBU SANA NGOZI YANGU YA MWILI ILIKUWA INABREAK OUT KAMA VILE COVER LA KOBE SO NILIVYOENDA PHARMACY WAKANIPA HII AND SINCE THEN NAITUMIA HII IKO NA MAFUTA SANA NI NZITO SO NISINGEIRECOMMEND KWA MTU MWENYE USO WA MAFUTA ILI KWA MWILI IT!S PERFECT UNLESS UNA MATATIZO YA NGOZI BASI HII NI DAWA TOSHA,,TRUST ME!!

DUDU OSUN NI SABUNI NZURI PIA KWA USO YAANI UTAKUWA SOFT MPAKA UTAJISHANGAA NA HII BOTH MEN AND WOMEN WANAWEZA KUITUMIA NA HAICHUBUI HATA KIDOGO KUNA MKAKA KAZINI KWANGU MUZUNGU ANAITUMIA SASA YUKO SOFT HES SO  SO HAPPY WITH THE RESULTS,,
CHA MSINGI USIMIX MAPRODUCTS MINGI KWA WAKATI MMOJA NA KITU KINGINE KUWA NA SUBRA UKITUMIA A PRODUCT KIPE MDA UONE MAFANIKIO,,


HII NDIO MUONEKANO WA THE ORIGINAL BLACKSOAP KWA YOYOTE MWENYE MATATIZO YA NGOZI NINGERECOMEND UTUMIE HII MAANA NI ORGANIC MEANING NI NATURAL PRODUCTS ONLY NA UNAWEZA ITUMIA USONI NA MWILINI MPAKA SEHEMU ZAKO ZA SIRI WITHOUT A PROBLEM,,



KWA MNAOKAA TANZANIA NAJUA KUNA PRODUCTS AMBAZO MNAWEZA KUPATA NA NYENGINE KUTOKUPATA ILA JAMANI WAPENDWA VASELINE NI DAWA TOSHA YA MWILI NA UKITUMIA HII INSTEAD YA MACREAM FEKI HAUTAIDHURU NGOZI YAKO ILA SASA NIMEONA KUPITIA INSTANGRAM MADUKA KADHAA YANALETA BLACKSOAP MADUKANI KWAO SO ZINAPATIKANA THEN USE THAT,,
HALAFU KINGINE MNA NATURAL PRODUCTS KWANINI MNATUMIA MACREAM FEKI???
VASELINE PIA UNAWEZA IPAKA USIKU MIGUUNI NA KULALA NAYO ILI USIWE NA GAGA ESPECIALLY KWA SISI WA NJE MAANA MARA NYINGI TUNAVAA VIATU NA SOKSI SO MIGUU YETU HAIPATI HEWA KAMA WANAOISHI KWENYE JOTO MARA KWA MARA,,
I WROTE THIS BACK IN 2014 AND 2 YEARS LATER IS TILL USE THE SAME THINGS,,
HII NILIANDIKA 2014 WAKATI NLIPOST KUHUSU VITU NINAVYOTUMIA,,



ACO NI BRAND YA PHARMACY SO MNAOISHI SWEDEN HII NI AFFORDABLE BRAND NI BRAND NZURI NA WANA PRODUCTS NZURI NA BEI ZAKE NI NZURI PIA MAN THEY SHOULD PAY ME FOR THIS ANYHOW WANAPRODUCTS ZA KUANZIA USO,MWILI NA SEHEMU ZA SIRI NA MAFUTA YAKE SO I HIGHLY RECOMMEND YOU TO USE ACO ASWELL,I HOPE NIMEWASAIDIA NA HII POST,NIMEMALIZA.COM!!!
DEFINETLY NTAFANYA A VLOG MEANING A VIDEOLOG ABOUT THIS,,

6 comments:

Anonymous said...

Booooom! Finally! Thank you for sharing doll! Asanteeeeeeeee nineshaaaandikaaaaa! Vichy ni nzuriiiiiii sanaaa! Tatizo ni moja ---sisi WaTanzania tunapenda sana sana sana vitu vya bei rahisi/ bei poa/ matokeo yake ndo tunanunua bidhaa FAKE za kichina mwishowe ngozi inaharibikaaaaaa!! Mtu ananunua nguo ya laki 2/3 lakini lotion ya elfu 30 hanunui anasema ghali!!!! Au sabuni ya elfu 20 hanunui anaenda nunua ya elfu 3!!! Hiyo ni shidaaaaaaaaaaa!!! Mmmmmm

Anonymous said...

Bidada una moyo ahsante kwa kutuelimisha na kwa ku share

Anonymous said...

thanx kwa kushare mimi mmoja ya waliokuwa wanakukumbusha kila siku lol..thanx
pia nadhani kunywa maji ya kutosha inasaidia sana kwenye ngozi..

Anonymous said...

Ahsanteeeeeeeeeeeeeeeee

NURU THE LIGHT said...


karibuni wapendwa tuko pamojah,,

Unknown said...

Hi Nuru, mesoma your post asante kwa kuwa unatusaidia sana watu ambao ngozi zetu zinatupa stress, MI nipo dar unaweza nisaidia kuniambia naweza kupata wapi izo sabuni za dudu osun, maana metafuta sijaziona madukani.