Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Thursday, June 2, 2016

UNIPOST AU USINIPOST BARKA HUTOKA KWA MUNGU NA SI MWANADAMU,KUMBUKA HILO!!!



UNYE KOSA,,
UHARISHE KOSA,
JAMBA KOSA,,
KILA KITU KIMEKUWA KOSA,WATU WANATAKA UFANYE WATAKAVYO WAO HALAFU SASA AFADHALI WANGEKUWA WANASHAURI MAZURI ILA KILA KUKICHA NI UGOMVI NA UCHOCHEZI NAHISI WCB WASHAJIFUNZA THROUGH TUKIO LA HARMONIZE KUWA THEY CANT EVER NEVER DISRESPECT WEMA MAANA ANA JESHI NYUMA NA HICHO NDIO MUHIM LAKINI AKITAKA AMANI BASI MUWE MNAMUELEWA NA KUHESHIMU HILO CHA MSINGI MSUPPORT HER NA KAZI ZAKE AKUZE BRAND YAKE HILO NDIO LA MSINGI NA KUMBUKENI YEYE NDIO ALIMUACHA HICHO KITU MWANAUME HUWA ASAHAU,,
KINGINE MAISHANI TUNA WATU WATAREFLECT THROUGH WAO WALIVYO
KAMA MTU NI OPPORTUNIST AND FAKE ATAFIKIRIA WEMA ANAJIPENDEKEZA
KAMA MTU NI MNAFKI ATAWAZA HIVYO NA KAMA MTU YUKO PEACE NA ANAPENDA SANAA ATAFURAHI KUONA MWISHO WA HIZI TEAMS,,
THERE IS NOTHING WRONG KUWA SHABIKI BUT KUWA SHABIKI WA MANUFAA KWA MSANII YOYOTE YULE UNAYEMPENDA,
KUNA MIJITU INANIITA MIMI NAJIPENDEKEZA JUST FOR THE SIMPLE FACT NARUSHA MAFANIKIO YA WATU WENGI MBALIMBALI BUT HEY NIMEBLOG SEVEN YEARS GOING ON EIGHT BADO TU HAMUMJUI NURU THE LIGHT,GERARAHEAAAAAAA
Kama wewe una roho mbaya that is you na kumbuka Mungu ndio mtoaji so Wema I feel you girl unipost usinipost,your choice,NIMEMALIZA.COM!!!

4 comments:

Anonymous said...

endelea hivyo hivyo the light,penda wewe

Anonymous said...

Lol! For Reeer let them Gerarahiya you know what I am saying? I use to read alot of toxic views about you Nuru but when I decided to enter this blog, there is never a day that I stop coming here. Shetani huwatumia watu sana kushusha watu, ukiwasikiliza utashuka but you have proved them wrong. Sijui ni culter yetu ama ndio tunamsingizia shetani ndio maana anatubamiza na mahovyo hovyo but hey finger pointers there are three thick fingers pointing back at you when you only use your index fingers , tena nene kama mbilimbi lol..

NURU THE LIGHT said...

Mbilimbi hahahhahahahah hakuna cha culture wala nini ni wivu tu na roho mbaya na shetani anawatumia wenye mioyo hiyo tayari ili aweze kufanya maovu,,Karibu tena na tena mpenzi
Anon wa kwanza mwendo ni ULE uleeee

Bintinyota said...

Husdat na Fitnat tu zimewajaa.
Mxxxxxxxx
Tatizo bila Wema hawauzii.

Wamemharibia music kaka WA watu.

Haaa I love the Light since.
Keep up the good work love.
Hiyo tuliita Funga Kalomo
Leo tunaiita Ndi Ndi Ndi.
Ikikuuma ji Ndindindi

Marogoooooooo