KUNA BAADHI YA WATANZANIA NI AIBU,,
KUNA BAADHI YA WATU HAWAJUI IMPACT YA SOCIAL MEDIA,,
KUNA BAADHI YA WATU HAWAJUI UMUHIM WA KULIWAKIKISHA TAIFA LAO PERIOD,,
KUNA WATU RAHA YAO NDIO HII KUKAA KUTUKANA TUU,,
AISEE SASA NDIO NIMEELEWA HULKA ZA BAADHI YA WATANZANIA,,
AS A NATION MNAENDA KWENYE UKURASA WA BET NA WA BLACK COFFEE NA KUTUKANA OVYO HIYO NDIO MNAONA NI SIFA AU MATUSI NDIO YATAFANYA BET WABADILISHE MAWAZO?
HAMJUI AU MMESAHAU KUWA YALIKUWA MASHINDANO SO KUNA KUPATA NA KUKOSA BUT THEN AGAIN NA HII MENTALITY HAINIFANYI NISHTUKE KWANI NIMESHAIONA KWENYE MAISHA YA KAWAIDA,SIASA,BIASHARA NA HATA KWENYE MUSIC INDUSTRY I MEAN DIAMOND HAJAPUNGUKIWA NA LOLOTE KUTOKUSHINDA YEYE ATAENDELEA NA SAFARI YAKE KIMZIKI BUT NYIE KAMA MASHABIKI NA KAMA NI MASHABIKI KWELI MNAONEKANA WAPUMBAVU MKIKAA KUTUKANA HIVI JE MME MGOOGLE HUYO JAMAA ALOSHINDA MUONE NA MJUE NI NANI Kwenye Mziki,,Sometimes muwe hata mnajishughulisha kusoma kuhusu mshindi kabla ya kukoment upumbavu,Mxiuuuuuuu!
MWISHO WA UBAYA NI AIBU NA HII NI AIBU TOSHA,SHAME ON YOU!!,
NA SWALI LANGU MUHIM KULIKO YOTE JE MLIPIGA KURA OR AS USUAL MAKELELE TU MITANDAONI KAMA KAWAIDA YENU ILA IKO SIKU MTAPATA KIBOKO YENU MTANYOOSHWA TUU ILA THIS IS SO SAD AND PATHETIC,NIMEHANDS UP.COM!!
1 comment:
Da Nuru kuna wapuuzi dunia hii we acha tu wameniboa
Post a Comment