DAR ES SALAAM
BERLIN,,
PARIS,,
DURBAN,SOUTH AFRICA
HIS STYLING PARTNER NOEL AT THEIR STUDIO WITH SHEIKH ALHAD SALUM!
RIO PAUL NI KIJANA MDOGO SANA BUT ANA VIPAJI VINGI,,
YEYE NI STYLIST,PR FASHION DIRECTOR,BRAND AMBASSADOR,DESIGNER NA KAWEZA KUFUNGUA KAMPUNI YAKE AKIWA MDOGO SANA NA BAADA YA MIAKA 3 TUTAMUONGELEA RIO KI INTERNATIONAL ZAIDI TRUST ME ON THAT THIS KID IS CONNECTED NA NADHANI FUNZO KUBWA KULIKO JINGINE NI MTOTO ALIYEKUWA NA NDOTO NA AKAITIMIZA ILA BADO SAFARI YAKE INAENDELEA I LOVE YOU AND I WISH YOU ALL THE BEST RIO PAUL THE EXTRODINER!,,
I like the fact kuwa Amesoma na kugraduate hakukata safari yake ya masomo he stayedd in his lane and got a Degree,Hongera!
No comments:
Post a Comment