Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Friday, June 24, 2016

OK THEN!!!

Why do you care so much mpaka mnatukana na kutoka MAPOVU kisa huyu kaka kumsifia mama mtoto wake Who happens to be his girlfriend ni nini lakini tena wanawake ndio mstari wa mbele as if some of you hamjazaa au kupitia mahusiano kwenye maisha yenu,,
Kaandika kisichana kila sehemu anaitwa kibibi hivi wa bibi hamjawaona au ni Wivu halafu mtu akisema hivyo mtachukia but Why The Hate wajameni mungu wangu huwa sielewi mtu ana put so much energy na mtu wala asiomhusu ambae hamu ongezei wala kumpunguzia na ndiomaana Zari mnampa kichwa cause You all care so much so akiwa anawapeni yale majibu ni makosa yenu wenyewe cause You All Care So much aisee nimemaliza.com!

5 comments:

Anonymous said...

Nuru Like You took words out of my mouth i always say Huyu dada watanzania wanampa airtime sana kwa vitu Vya kijinga wakati Huko Uganda huwasikii wakimpa airtime Diamond,Tena Hawana Muda naye kabisa.Ila sisi watanzania na akili zenu finyu za kufikiria tunampaisha sana hata kumpa deals za matangazo wakati tuna mastaa wengi tuu wanegweza kupewa hizo deals za matangazo eg Vanesa Mdee,LadyJay Dee, Wema etc "SMDH"..Why?????????????

Anonymous said...

NASHANGAA, ata Uganada naona wanatushangaa wa TZ, kha!!!
AM...

Anonymous said...

Hahaha kuna watu wapumbavu sana jamani mtu amemsifia mama mtoto wake na soon atakuwa mama watoto wake muacheni mpeni pumzi kijana wa watu, katika wazee Zari mtamuita mzee mbona wanamuonea jamani? Uzee mwisha Chalinze banaana hahahaha Nuru well said aisee.

Anonymous said...

Sasa wengine walivyokomaa halafu wamekazana Kazee khaaaa as if wao watarudi utotoni

Anonymous said...

Na wote wanaosema Zari mzee ukienda kwa profile zao utawaonea huruma zote chuki, halafu tujijue ukizidisha chuki yani unampa mwenzako nafasi ya kufanikiwa zaidi na wewe utabaki hivyo hivyo, tubadilikeni ndugu zangu kumchukia mtu pasipo sababu aliependwa kapendwa muacheni na uzee wake mana Daimond aliuona ila ndio yuko nae sasa na kampenda hivyohivyo.