Wasichana bwanaaaa...tunajitumaa wakati hata Pete ya uchumba huna kidoleni. We think tukijipendekeza na kujipikisha ndo mwanaume atakuona bora sijui wife material. Wolper hat a mwezi hana na huyu kijana tayari na kuni anabeba, hahahaaa yangu macho
Sio kwa hizo kucha. Mimi mtu akinipikia na mikucha hiyo sili kabisa. igeni mfano kwa lulu jamani vitu vingi yuko natural, mara nyingi habandiki mikope, mikucha. Ukimuona kabandika vitu vyote hivyo ujue anaenda kwenye special event na akitoka anabandua anabaki vile alivyo.
Wadau uko juu mmemaliza Sina cha kuongeze labda sijui niseme Desperate, kwa kweli huyo kijana kwa age yake haya ni makubwa kwake. Jacqueline wewe unaweza kuwa kweli ume fall in love kwa umri wako kama msichana, lakini huyu kijana bado sana anahitaji ujana wake kujilusha na mambo mengi ya u toto... Usije ludisha hizi picha ktka mitandao na kusema wakati hana kitu nilikuwa nae leo kawa wa kimataifa hana time na mimi.....Tunakwambia kabisa kijana bado mbele anamaisha yake...enjoy today is your time...... AM.....
4 comments:
Wasichana bwanaaaa...tunajitumaa wakati hata Pete ya uchumba huna kidoleni. We think tukijipendekeza na kujipikisha ndo mwanaume atakuona bora sijui wife material. Wolper hat a mwezi hana na huyu kijana tayari na kuni anabeba, hahahaaa yangu macho
sijawahi kukoment ktk hii blog ya nuru but i think this a moving wanaanda causemnajua wolper ni actor movie so hii maigizo its not really
Sio kwa hizo kucha. Mimi mtu akinipikia na mikucha hiyo sili kabisa. igeni mfano kwa lulu jamani vitu vingi yuko natural, mara nyingi habandiki mikope, mikucha. Ukimuona kabandika vitu vyote hivyo ujue anaenda kwenye special event na akitoka anabandua anabaki vile alivyo.
Wadau uko juu mmemaliza Sina cha kuongeze labda sijui niseme Desperate, kwa kweli huyo kijana kwa age yake haya ni makubwa kwake.
Jacqueline wewe unaweza kuwa kweli ume fall in love kwa umri wako kama msichana, lakini huyu kijana bado sana anahitaji ujana wake kujilusha na mambo mengi ya u toto... Usije ludisha hizi picha ktka mitandao na kusema wakati hana kitu nilikuwa nae leo kawa wa kimataifa hana time na mimi.....Tunakwambia kabisa kijana bado mbele anamaisha yake...enjoy today is your time......
AM.....
Post a Comment