Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Thursday, June 9, 2016

IMEJIPOST!!!

DID HE REALLY WROTE THIS BULLSHIT OR SOME OTHER FOOL DID THIS?
AND WHY DO MEN ALWAYS FIND EXCUSES TO JUSTIFY The ACT OF CHEATING AND SOME WOMEN ARE DUMB ENOUGH TO BUY THIS CRAP,, OH LAWD!!,

HIVI KWANINI BAADHI YA WATU MNAJIEKTISHA AS IF HAMNA SHULE AU HAMJUI KUSOMA,
NI KWELI DR MWAKA KAANDIKA HII AU NI LIJITU TUU LIMEAMUA,,
SO MWANAUME LAZIMA ACHEPUKE DUNIA YA LEO ILI AONEKANE NDIO MWANAUME AMA AM I MISSING SOMETHING?
WANAWAKE WAMEKAZANA MIDOMO JUU OHH NDIO HIVYO SHOGA KAMA HACHEPUKI BASI SI MWANAUME HAHAHAHAH BABA RUDIIIIII TUNA VIUMBE WAPUMBAVUUU KUPITILIZA YAANI UNAKUBALI  KWAMBA MWANAUME  ANAYEKUPENDA AU MWANAUME RIJALI NI ANAYECHEAT AU NYIE MICHEPUKO A.K.A WIZI WA WAUME ZA WATU NDIO MNAJIPA MOYO KUWA NI SAWA?
AU wale maserengeti vilaza wazee wa kulelewa,,
Hakuna Sayansi inayosuport hii theory na ingekuwa hivyo basi tusingekuwa na wanaume bora ambao hawako hivi na wala hawatakuwa hivi na kwanini mnakubali KUPEWA an excuse kujistify kitendo cha kucheat  kuwa mwanaume naturally yeye
Hu cheat tu,Really!
AMKENI and start demanding na jua thamani yako
Wanaume hufanya kile wewe utakachoruhusu,,
Ukikaribusha kuonewa,kunyanyaswa,kuwa anacheat na kutokukuheshim that is what you will get kwani kama unajua na unakubaliana na hiyo hali unafkiri ataacha?
Dunia ya leo kuna watu hawajali na hawathamini ndoa zao na mahusiano  yao period
Kila siku nawaambia wanawake wenzangu usiombe kutangazwa instangram,Facebook, sijui ma Dp na upuuzi Bali omba mume bora,atakayekupenda,kukuthamini, kukujali,kukuheshim,kuku support na umuite mume na rafiki yako hicho ndio kaa ukimuomba  kwa MOLA wako,,
WHAT IS the point umejazwa kila mahali na ma caption muzuri kama oh my love oh my ushuzi huku  dudu la mtu wako liko kila nchi likitalii,Nimemaliza.com!!!

8 comments:

Anonymous said...

Nuru, kuna siku ulipost ushauri wa Mwaka, nikaandika comment kwamba inaonyesha udhalilishaji wa wanawake, ukamtetea halafu comment hukuweka. Unaona alichoandika leo?

Labda sababu yeye sio mwaminifu kwa wake zake anafikiri wanaume wote wako hivyo, badala amuombe Mungu amuondolee huo udhaifu, anatafuta justification. Hiyo research ya 1% alifanya lini n'a alitumia sample size gani?

Insta watu wengi wamekuwa watoa ushauri; wakati na wao wanahitaji washauriwe kwenye hayo wanayoshauri.

Anonymous said...


hahahaha Nuru you are crazy guuuuuuuurl,,,

NURU THE LIGHT said...

Nadhani kwa kumbukumbu yangu sijawahi mposti DR Mwaka in here ila nitatizama maana wakati wa sakata lake siku post and actually hiyo ndio time kwa mara ya kwanza ndio nilimjua but hii research kama yeye ndio kweli ameandika hivi basi something is not right upstairs kwa DR Mwaka and Who gave him this name?
Insta kila mtu mchambaji ni sheedarrrrrr sasa ukute wanashauriana unaweza zimia!

Hahahahahah I knowwwww love little CRAY CRAY sometimes sio mbaya,lol

NURU THE LIGHT said...


He has Wives na sio wife?....oh dear!

Anonymous said...

Kajaribu kuowa wake wengi lakini wapi, Tabia haina dawa...anataka kulazimasha kama wote wako kama yeye.
Labda washamfumania uko sasa anatafuta excuse......LOL
AM...

Anonymous said...

huu utafiti ni wa uongo..hao wanaume 99% wanaocheat si wanacheat na wanawake? basi hata wanawake wano cheat sio 1% ni ziadi...wanawake oyeeeh.

Anonymous said...


He must have problems

Anonymous said...

, SIJUI HATA HAO WANAOENDAGA KUNUNUA DAWA KWAKE WANAWAZA NINI, MARA NYINGI HUWA ANADHALILISHA SANA WANAWAKE KWA KAULI ZAKE ZA AJABU AJABU, HIYO RESEACH AMEFANYIA WAPI, THIS MAKE ME HATE HIM