UNAJUA BARKA HUJAGA KWA NJIA NYINGI SANA,,
KUNA WATU WANAWEZA WASIKUELEWE LEO BUT WAKAJA KUKUELEWA KESHO,,
NILIANDIKA BEFORE HUWEZI KUMPA MTU KITU AMBACHO HUNACHO NA KUMPONGEZA MTU KWA ROHO NYEUPE SI KILA MTU ANACHO,NIMEMALIZA.COM!!
3 comments:
Anonymous
said...
Daa umeongea point sana Nuru ila watu wajinga wasioelewa wataanza mdiss Wema anajipendekeza ila hii ni hatua na jambo moja jema sana amefanya m.mungu awasimamie wote Inshallah.
Ameen ahsante mdau ah wataomdiss ni nafsi zao tayari ziko hivyo so wanataka yeye awe na ma drama mpaka lini wakati kasema amechoka na anamtakia mema mwenzake,,

Big up Wema.
But Naseed has to change if he still blocking her ways.
Post a Comment