huyu ndo saizi yake..mtoto mwenzie wacheze wote mdako
Hahahahahahahahah !!!! Minakufa mbavu tu,AM...
Na kweli wacheze michezo yote ya kitoto mdako, kidali po
Yap kapata wa kuendana nae kwa kweli. sio yule ajuza aliyekwa anamlamba vibao kila saa. Hongera Nuhu.
Mh! Wadogo zangu mahaba ya utotoni ndo mwachora tatoo full name. Sasa wakimwagana na binti bado mdogo inakuwaje au mpaka anafikisha 26 atakuwa na majina ya vidume wangapi mwilini kwake?Yangu macho.
Hiyo tatoo kama vile ni edited. ukiangalia vizuri pic za mwanzo hapo juu hiyo tattoo haipo Anony wa hapo juu, na hzi pic zinaonyesha ni za same day.
Post a Comment
6 comments:
huyu ndo saizi yake..mtoto mwenzie wacheze wote mdako
Hahahahahahahahah !!!! Minakufa mbavu tu,
AM...