Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Thursday, June 23, 2016

A LETTER TO MYSELF FOR MY BIRTHDAY!!!



KWA BARKA ZA MUNGU NA NEEMA NIMEPATA KUONA MWAKA HUU PLUS KUFIKISHA MIAKA KADHAA KATIKA DUNIA HII,,
MWAKA JANA NINGEAMBIWA HAYA NINAYOYAJUA LEO BASI NAAM KUNA BAADHI YA VITU NINGEKATAA NA KUSEMA SIO KWELI AU HAVITOTOKEA LAKIN THAT IS THE BEAUTY WITH LIFE NI KWAMBA HAUJUI KESHO ITAKUPA NINI AU KUKULETEA KIPI
MWAKA JANA NILISEMA BIRTHDAY YANGU NATAKA KUSAFIRI NA NILIFANYA HIVYO NA NILIENJOY SANA NA MWAKA HUU NILISEMA SITAKI KABISA KUSHEREHEKEA NATAKA MWEZI UISHE NDIO NITASHEREHEKEA SIKU YANGU YA KUZALIWA BUT NILICHOPANGA MIMI SIO ALICHONIPANGIA MUNGU MAANA MCHANA NILIKUJA KUCHUKULIWA NA KUPEWA A BIG SUPRISE MPAKA MIMI MWENYEWE NIKASHANGAA,,THANK YOU!!
BADAE NIKARUDI NYUMBANI NA KUTOKA KWENDA A MALL OF SCANDINAVIA AND AFTER THAT NIKARUDI TENA NYUMBANI JUST TO FIND MYSELF MJINI TENA KWA MARA YA TATU TODAY NA KULA DINNER,THANK YOU CALIENTE!
NAWASHUKURUNI WOTE MLOCHUKUA MDA WENU KUNITAKIA A HAPPY BIRTHDAY NAWASHUKURU PIA MAANA MNANIFUNZA SOMO BILA HATA KUJUA SO NAWAPENI A BIG THANK YOU KWENU PIA FOR THE LOVE,,AHSANTENI!
KUNA MENGI SANA NINGEPENDA KUONGEA ILA MDA WAKE HAUJAFIKA ILA NTAYAONGEA ILI MPATE HATA KUJUA MAANA HATA SISI HUPITIA MITIHANI NA SIO VYOTE LAZIMA TUVIANDIKE ILA KUNA VINGINE NI MUHIMU TUVIONGEE ILI MPATE KUJIFUNZA HATA KAMA NI KUPITIA KWANGU,,

KITU KIKUBWA SANA NILICHOJIFUNZA MWAKA HUU NI KUENDELEA KUWA NA ULE MSIMAMO NILIOKUWA NAO ZAMANI MAANA HAPA KATIKATI NILIPOTEA NJIA NA KUJISAHAU KAMA TUNA MASHETANI WATU DUNIANI WENYE SURA ZA MALAIKA ILA ROHO ZA GIZA YAANI HILO NDIO SOMO KUBWA SANA KWANGU NA NAMSHUKURU MUNGU NILIWEZA KU SURVIVE AISEE IT!S A MIRACLE FROM GOD BY GOD NA SIE MTU MWENGINE,GLORY TO ALMIGHTY GOD!!
KINGINE NI KUUGUA KWA MY UNCLE AISEE THIS WHOLE EXPERIENCE IMENIFUNZA NA KUNIELEIMISHA SANA NA HOW IMPORTANT IT IS KUZUNGUKWA NA WATU WAZURI KWANI HATA NDUGU ZAKO WANAWEZA KUKUTEKELEZA WHEN YOU NEED THEM THE MOST NA AKAJA MTU BAKI NA KUSIMAMA NA WEWE NO MATTER WHAT MAANA PALE HOSPITAL UNAONA KABISA MTU KALAZWA MASKINI HATA NDUGU YAKE MMOJA HAJAJA KUMUONA  JAMANI DUNIA HII VITU VINGINE USIOMBEE VIKUTOKEE,,
KINGINE NI KUJUA WA KUMSAIDIA MAANA KUNA MTU UNAMSAIDIA KUMBE UNAMTAYARISHA KUJA KUKUMALIZA NA KUKUKANDAMIZA UPOTEE,,
KUWA NA WATU WAZURI NA WANAKUPA USHAURI MZURI MAANA WANAKUJALI
KUWA NA WATU LOYAL,TRUSTWORTHY NA PIA VERY FUNNY KAMA UNAPENDA KUCHEKA KAMA MIMI,,
KUSKILIZA YOUR GUTT INSTICTS JAMANI USIIPUZIE ILE SAUTI KICHWANI INAYOKWAMBIA TIZAMA KITU FLANI KWA JICHO LA TATU NI MUHIM SANA!
NIMEGUNDUA PIA KAMA UNAPITIA MTIHANI FLANI KUWA NA SUBRA MAANA SUBRA HUTUFUNZA MENGI SANA,,
CHA MSINGI NI MDA JAMANI MDA HUTUONYESHA MENGI SANA MAANA MDA NADHANI MPAKA SASA UMEKUONYESHA HATA WEWE KUWA WEWE PIA NI MTU WA AINA GANI NA LABDA WALE ULODHANIA SIO NA WALE HAUKUTARAJIA NDIO,,
MWAKA JANA ILINIBIDI NIIFUNGE THE LIGHT MAANA MDA WA MKATABA WANGU ULIISHA NA NIKAFUNGUA SEHEMU NYENGINE SEMA NAUZA TU CHAKULA NA HIKI KITU CHA KUTHUBUTU TUU KUFUNGUA BIASHARA WATU WALINIAMBIA HAUTOWEZA OR HII NDIO NILICHEKA KHAA KWANINI UNAENDA AFRIKA HAHAHA CAN YOU IMAGINE SASA MLITAKA NIENDE ISLAND?
BUT YOU SEE MDA BWANA HUTUONYESHA MENGI KIUKWELI NASHKURU KWA MIAKA YANGU MITANO AMBAYO NILIWEZA KUWA PALE SINZA NA KUFANYA SHUGHULI ZANGU,,

 SEMA KUNA NDUGU YANGU KAMOJA KASUBIRI NCHAMBO WAKE UNAKUJA SIKU NIKIAMKA VIBAYA MAANA HATA KWENYE FAMILIA TUNA VIDUDU MTU NA ANA BAHATI SANA KUWA HAISHI SWEDEN AHAHAHAH KINGENUKAA LOL,,

CHA MWISHO MY FAMILY MI FAMILIA NA MY CLOSEST PEOPLE KWAKWELI BILA NYINYI HAKUNA NURU THE LIGHT MAANA NDIO MNAONIJALI WITHOUT A DOUBT,
MWISHO KABISA MY SIR GOD HATA SIJUI NIKUPE NINI MUNGU BABA MAANA UMEWEZA NIPITISHA THROUGH MENGI HUKU KICHWA CHANGU KIKITIZAMA JUU NA SIO CHINI KWAKWELI ACHENI MUNGU AITWE MUNGU,NIMEMALIZA.COM!!!

6 comments:

Anonymous said...

Lol The light eti ukiamka vibaya nimechekajeeeee shost

Anonymous said...

Nuru ni mwanga palipo na giza aliyekupa jina alijua Mungu atakuangazia nawe utawaangazia wengine ndio maana bado unaendelea kuangaza. Ukipatwa na shida au giza kumbuka jina lako litakuangazia kwani wewe ni wa kuangaza milele

Anonymous said...

LOL!!! Nuru bwana Eti mlitaka niende Island, labda ungeenda iceland kabisa..lol...poa mummy ni vijimambo ktk life.
Happy Birthday to you Gorgeous!!!!!!! Love ka dress
AM....

conn4heaven said...

luv u mom

NURU THE LIGHT said...

Ahsanteni sana wapendwa,,,tuko pamojah

Bintinyota said...

Waja waja wazito, muhimu kuwajua na kwrnda nao hivyo hivyo, hawakuumizi.

Duh hii ya nafsi WA umenigusaa.
Nami napigia mstari, jamani tumdharau huyo nafsi WA ndani, hasemi uongo, never. Yaani Mimi humuita my Guidian Angel.

Many candles The Light