Mdau hapo juu wee ukucheka mimi nilikuwa na chakula mdomoni jamani Yalio tokea wee acha.. Yani nimecheka na kukohowa juu, yani nimecheka mpka kichwa kimeniuma... Aisee kuna watu sijui huwa wanawaza nini Eti Mr BAR...hahahahahahahahah Weee Nuru leo umetuuwa .. AM...
2 comments:
Yaani nimecheka hatare iyo ya Baraka dah!Aisee machozi yananimwagika walah duh
Mdau hapo juu wee ukucheka mimi nilikuwa na chakula mdomoni jamani Yalio tokea wee acha..
Yani nimecheka na kukohowa juu, yani nimecheka mpka kichwa kimeniuma...
Aisee kuna watu sijui huwa wanawaza nini Eti Mr BAR...hahahahahahahahah
Weee Nuru leo umetuuwa ..
AM...
Post a Comment