Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Sunday, May 8, 2016

WHY GARDNER???


NADHANI BY NOW WENGI WENU WATAKUWA WAMEONA THE CLIP VILE AMBAVYO GARDNER ANAONGEA ILE SENTENSI NA KAMA BADO WELL UTAIONA TUU
KUSEMA HUNA TATIZO NAE HALAFU THE SAME MINUTE KUONGEA VILE NI INAONYESHA KUWA THAT IS NOT THE CASE NA UNAJICONTRADICT MWENYEWE

GARDNER WEWE NI MTU MZIMA NA SIO KIJANA,,
UMESHAPITIA MENGI SANA IN TERMS OF MAISHA NA MAHUSIOANO
KINGINE PIA ULIKUWA UMEOWANA NA HUYU MWANAMKE KWA MDA MREFU NA MMEDUMU KWENYE MAHUSIANO TAKRIBAN MIAKA KUMI 15 THAT IS A LIFETIME GARDNER,,
INGEKUWA BUSARA KAMA MENGINE MNGESTIRIANA NA KUHESHIMIANA NA KUTOWAPA WATU FAIDA I MEAN MAJUZI TUU UMEFANYA INTERVIEW NZURI SANA NA ZAMARADI MPAKA NIKASEMA YES THIS IS A GENTLEMAN AND THEN UNAKUJA FANYA KITU KAMA HICHI SASA NAKUTETEA VIPI?

KINGINE MKUU KUMBUKA KUWA WEWE UNA MTOTO WA KIKE AMBAYE INSHALLAH NA YEYE ATAKUJA KUWA MKE WA MTU JE MUMEWE ASIMAME AONGEE HIVI UTAPENDA KWELI?
KINGINE GARDNER USIJIVUNJIE HESHIMA KWA JAMII AU WALE WATU AMBAO WANAKUPENDA,KUKUHESHIM,KUKU ADMIRE AND LOOK UP TO YOU JE UNAWAFUNZA NINI?
JAMANI NUH MZIWANDA NI KATOTO ILA HATA SIKU MOJA TOKEA AACHANE NA YULE MWANAMKE HAJAONGEA HIVI,,AGE IS NOTHING BUT A NUMBER!!
ISTOSHE WEWE PIA UNA IDENTITY YAKO NA MARK YAKO KAMA WEWE KWENYE JAMII SO SIO KITU UKASEMA PEOPLE WILL LET YOU GET AWAY WITH IT KWANINI UHARIBU VYOTE HIVYO BY A SINGLE SENTENCE,,DAH!!
HONESTLY AM DISSAPOINTED BUT HII PIA NI ISHARA YA MENTALITY FLANI YA BAADHI YA WANAUME MAANA UNASAHAU HATA WEWE ULIFANYIWA WAKATI MKIWA KATIKA HILO TENDO SO WHAT IS THE BIG DEAL HIYO SI KAWAIDA MKIWA KWENYE TENDO AMA???
ALL IN ALL JARIBU KUWA NA HEKIMA NA KUNA VITU HAVIHITAJI DARASA WALA NINI IT IS SIMPLE MATHEMATICS NA COMMON SENSE,NIMEMALIZA.COM!!

4 comments:

Anonymous said...

Kweli kabisa haikuwa na haja kutanganza mambo ya kitandanai na alie kuwa mkeo hadharani. umepata faida gani sasa kaka? Nahisi bado unampenda JD. Nuru haya ndo mambo ya wanaume mkishaachana huku bado anakupenda basi ataropokwa huko nje mpaka.

Anonymous said...

Hajui kumkojoza mtu ni kipaji duh ukute hata lilikuwa halimkojozi sasa mbona mbegu yake haikumzalisha bwege tu huyu nlikuwa namuheshim

arab gal said...

well said nuru

wanaume wa kitz wengi wao hivy na ndio maana wanadharaulika kila kukicha

shame on u gardner

Anonymous said...

mpuuzi sana huyu kaka, japo nilikuwa simpendi, ila ndio nimezidi kumchukia zaidi. mwanaume suruali hata afiche haiba yake vipi, siku moja litajitokeza tu
shenzi type