Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Friday, May 20, 2016

WEDDING IN ZANZIBAR#THANKGOD FOR SAND#BEACH WEDDING#GOD WIN#TUNASHUKURU!!!

























1 comment:

Anonymous said...

Riasi wetu Nyerere alipambana tuwe huru watanzania lkn leo serikali ya magufuli wanataka kuturudisha enzi za giza. Naomba tupambana ni haki yetu kuona bunge live democrasia ni haki yetu naomba tujipangeni in no time Tanzania itakua km jirani zetu vita na umwagaji wa damu Seikali ya tano inatupeleka kwneye dictatorship regime tena wa mwendo wakasi hakuna freedom of speech tunaishi na hofu na sio mda mrefu social media wanaziban nchi nzima jamani nawasihi muamka tupambane hata km ikibidi tuende UN na kwingine lkn tusikubali kurudishwa nyuma watoto wetu wanateteseka CCM wameiba kura, CCM wametumia nguvu kuwauwa ukawa, kuwanyamazisha, jeshi la polisi limevamia vituo vya kupiga kura vya ukawa wakachkua kura zetu na kuweka zao jamani watu wakilipuka wakichoka kuonewa hii inchi itakua km jirani zetu vita kwenda mbele tuamkeni wengi wetu tumejitoa ufahamu wakati serikali inaumiza wananchi na wakati uhuru wetu umekua tete hofu imetanda wananchi kuandika maoni ni kosa, kusema ukweli ni kosa, kuona upinzani au kuwasikiliza ni kosa kujua wanachokiongelea bungeni eti wanaedit bunge jamani demokrasia inakufa nchini naomba wewe mtanzania uamke hatuna mda magufuli anafanya kila kitu kwa kasi kubwa ili by the time tunasituka is too late tupo kwenye udictator, Jk kauza nchi gesi yetu kwa mchina tunaletewa bidhaa feki tumekaa kimnya naomba tuamke saivi kwa pamoja bila ya kujali vyama bali kujali haki zetu zakibinadamu na za watoto. Tufanye maandamano, tusambaze ujumbe, tuende International court cjui UN nk mpk kieleweke. Tanzania ni yetu sio ya watu binafsi mm na ww tunaweza kubadilisha mfumo wa nchi sio magufuli wala CCM. Mungu ibariki Tanzania