Huu ni utoto jamani mnaonyesha nini kwa mafans wenu nyie kina dada? Si muyamalize kichinichini nyie wenyewe. Shilolo wewe ni mama kabisa unaonyesha picha gani lakini?
hahahahahahahahah!!! ;) kumbe yamefikia uku....Vee usijilet down na Huyu mswahili wa Taarab.. Bora iwe act tu Huyu Shilole hana class ata kidogo Aibu pia hana, Vee Kama kweli mpotezee... Thanks The light kwa kutupa habari za mjini AM
5 comments:
Huu ni utoto jamani mnaonyesha nini kwa mafans wenu nyie kina dada? Si muyamalize kichinichini nyie wenyewe. Shilolo wewe ni mama kabisa unaonyesha picha gani lakini?
Mimi nahisi wana act tuu si kweli
ka vee kanajiona kazuri kuliko shishi hahahah yesu shukaaaa
hahahahahahahahah!!! ;) kumbe yamefikia uku....Vee usijilet down na Huyu mswahili wa Taarab.. Bora iwe act tu
Huyu Shilole hana class ata kidogo Aibu pia hana, Vee Kama kweli mpotezee...
Thanks The light kwa kutupa habari za mjini
AM
arguing with a fool makes you a fool as well.
Post a Comment