Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Monday, May 16, 2016

MWANAMKE NDIO MKOMBOZI WA MWANAMKE MWENZAKO NOTHING MORE AND NOTHING LESS,MUDA WA KUAMKA UMEFIKA KUWA MPENDANE NA MSHIRIKIANE!!!



Nimeiona hii Issue ila skutaka kuongea wakati nina hasira maana ningeongea maneno makali sana wakati nina Baba na ndugu zangu wa kiume ambao wamekuwa mfano mzuri kwangu so skutaka niongee maneno hayo,,
Mimi sijaiona hiyo video na wala sihitaji kuiona ila nimeskia the audio na unaona kabisa kuwa alikuwa anamjua mmoja ya hao wakaka and that is the thing about rape Most of the time ni mtu unamjua na atakuweka kwenye mazingira ambayo huwezi mdhania kwasababu unamuamini same thing na pedophile wanamteka mtoto kwanza kiakili na KUMUWEKA kwenye mazingira so awe safe ili aweze kumbaka mtoto mara kwa mara,,
Mda umefika hiyo nchi Ibadilike na hapa naongelea Mentality ya watu kuhusu ubakaji
Wakati mume wa Florah alikuwa na kesi ya ubakaji wengi wali support baada ya picha kusambaa ya msichana na watu walivyoona maumbile ya yule dada wa kaanza kumpa support and kuelewa why he did it tena wanaume kwa wanawake
Mentality ya watu na elimu Inahitajika kuhusu ubakaji si mjini wala vijijini
Jamani hiyo nchi sorry to say wanawake mnadharauliwa sana na at times kuonewa just because you are women can you imagine,,
Wanaume hawaamka na  kuanza kubaka na hii clip inaonyesha  unyama uliopo na unaoendelea kuwepo mara ngapi hatusomi wanawake wamekatwa viungo au kuchomwa na WAUME zao je hiyo ni haki fanya hivyo mwanamke kama hawajaandamana wanaume hiyo nchi,,
There has been a systematic abuse na a way of thinking ambayo unakuta mwanaume hata hafikirii mara mbili anafanya tuu because amekuzwa kuwa its their right kumpiga mwanamke na hata kumforce kulala nae kwavile ni mkewe not knowing hata mkewe akisema no maana yake ni NO,,
Tanzanian Men nawasihi kwamba kama mnataka hivi vitu viishe kuweni MIFANO HAI na mizuri kwa watoto wenu ili wajue thamani yao,,
Everything starts at home so hili tatizo litapungua atleast if both sides wakishirikiana kukemea  unyama huu trust me,,
Kuna mdada aliandika baada ya kuona hii NAOGOPA kuwa mwanamke kwenye nchi yangu aisee hii sentesi ilinitouch sana maana kuna huzuni ndani yake,,
Wanawake acheni tabia za kutoonyesha ubinadam especially kwenye kesi za ubakaji na victims mana huwa wanahitaji support na uelewe since wameshaathirika kisaikolojia so mkiwa cruel kwa mwanamke mwenzenu hivi hiyo itawabadilisha wanaume KUACHA KITENDO hiki?
Watu wanavua wanawake madeira kariakoo mchana kweupe sembuse kubaka!
Nimefurahi kwenye kesi hii kuona ushirikiano from both men and women na wabunge kiukweli wamekemea sana hili tukio na hili tukio limeonyesha hali halisi kwamba mnatakiwa kukemea even more na ku join forces  maana mna watoto wa kike whether wewe ni mwanamke au mwanaume na labda pia ni mwanamke au una ndugu wakike,,
Sitaki kuwaongelea hao wakaka ila nadhani na i hope sheria itamtendea haki huyu dada na pia iwe mfano kwa yoyote yule ambaye atataka kufanya unyama huu.
Na mnaotaka iona video muione ili iweje,why unataka kutizama kitu mwenzio akidhalilishwa as if ni entertainment,shame on you!
To the girl i hope utarecover one day na kurudi ulivyokuwa na kumbuka kuwa wako watu wana kupenda na wanakusupport so hauko peke yako,be safe love!!
PS!YES HII NDIO POWER NA POSITIVITY YA SOCIAL MEDIA NI KUBRING AWARNESS AND JUSTICE TO THE PEOPLE!,

4 comments:

Anonymous said...

eeh asante Mungu jamani nilisikiliza kidogo tu hizo video kwa Mange uwi hata dakika sikuweza roho imeniuma sana dada hata simjui. hivi hii ni haki kweli? hata kama amechanganya mabwana so what? ndio umuanike hivi ? muache tafuta mwingine . nimeshukuru sana wamewakamata yaani ningekuwa tz nahisi hata mahakamani ningeenda . Hebu ona dada wa watu wamemuharibia maisha magonjwa juu ukute. Mungu amsaide. from Holland.
Mange atoe tu hizo audio wamekamatwa !

Anonymous said...

Mange Kimambi.... Mungu ata kulinda kwa haya....Wewe ndio chanzo wakubwa kuyasikia.
Binadamu akamiliki Lakini kwa hili unastahili pongezi..Well done Mange Kimambi...
Thanks Nuru kwa kuendeleza pambano...wanawake tupendane sio tuumbuane wanaume wacheke.
LEO KWAKE KESHO INAWEZEKANA KUWA KWAKO AU KWA NDUGU YAKO..
AM..

Bintinyota said...

You spoke

Anonymous said...

Let the words you speak also be your walk. Can you join hands with @mangekimambi in helping fight #bungelivetz? And other very important issues in Tanzanians please.