Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Monday, May 16, 2016

IT!S THE LITTLE THINGS THAT COUNTS,JOJO!S SPECIAL DAY FILLED WITH LAUGHTER AND LÖVE!!!




 SUCH A BEAUTIFUL HOME MY BROTHER AM LOVING THE DECOR,,














 THE DINNER WAS GREAT AND JOJO WAS SO HAPPY,,,

THE FOOD WAS AMAZIIIIIIIIIIIIIIIIING,,


 DIGITAL KIDS GEEEEEEEEEEEZ,,,

 COUSINS.COM,,



 SHE SANG FOR HER BROTHER,,SO CUTE!!
















 THESE PHOTO!S WAS NOT EASY TO TAKE HAHAHAHAH,,



 MWAMBIE AJEEEEEEE,,AAAAAAAAAJE!!!









 HAHAHHAHAAH WE GOT YOU,,




NIMEGUNDUA KITU KUHUSU WATOTO NA HICHO KITU NI KWAMBA WATOTO WANATHAMINI SANA MDA UNAOSPEND NAO,,
ACHANA NA HELA,ZAWADI,MA IPAD OR WHATEVA WATOTO WANAPENDA USPEND TIME NAO NA KUFANYA KITU NAO AMBACHO KITAWAWEKEA KUMBUKUMBU FOR LIFE,,
FOR EXAMPLE HII HAIKUWA A BIG PARTY ILA HIVYO ATAKUJA KUFANYIWA BAADAE  BECAUSE BIRTHDAY YAKE ILIKUWA A WEEKDAY NA ALIKUWA ANAENDA SHULE SIKU INAYOFUATA NA TUSHAPEWA LIST YA ZAWADI ANAZOTAKA BUT WIFI ALIMSUPRISE NA THE SMALL DINNER AND ALL OF US THERE YAANI UNAMUONA MTOTO ANAFURAHA AS IF KASHINDA MILLIONI,,
JIFUNZENI KUJUA NA KUTOFAUTISHA IT IS NOT ABOUT THE MATERIAL THINGS AU MABIRTHDAY MAKUBWA BUT IT IS ABOUT THE QUANTITY NA QUALITY TIME UNAYOTUMIA NA MTOTO WAKO,,
HIVYO NDIO VITU MTOTO WAKO ATAKUJA KUKUMBUKA MAISHA YAKE YOTE
IT DOE!S NOT MATTER AWE KWENYE MANSION AU WHATEVA KAMA HAUKUWA MZAZI UNAYECHUKUA MDA WAKO NA KUKAA NA MTOTO WAKO WHILE UNATENGENEZA NA KUJENGA MAZINGIRA YA URAFIKI,UKARIBU,MAELEWANO,MSIMAMO,MAPENZI NAE ILI AWE TAYARI BAADAE KUKUTANA NA KUPAMBANA NA ULIMWENGU NA WALIMWENGU WHEN THE TIME IS IN,,
ALL KIDS WANT IS A GOOD PARENT WHO LOVES THEM AND CARE FOR THEM HICHO NDIO WATOTO WANAJALI NA KUTAKA HASWA,MZAZI BORA!!
HATA UWE MASKINI KIASI GANI TRUST ME UKIZINGATIA HAYO MTOTO WAKO HATOKUWA KAKOSA KITU BALI TU MA MATERIAL STUFF AMBAYO WAKATI MWENGINE HUBOMOA INSTEAD YA KUJENGA,,
HAKUNA KITU KINANIPA RAHA NA FARAJA KAMA KUONA KAKA ZANGU KUWA WAZAZI BORA KWA WATOTO WAO,I AM PROUD OF THEM FOR BEING GOOD FATHER!S ESPECIALLY MIKEY ALIKUWA BABA AKIWA MDOGO LAKINI ALILIPOKEA JUKUMU BILA WASIWASI AND FOR ME HUO NI MFANO MZURI KWANGU!!
KWA WAZAZI WOTE OUT THERE MUWE WAWILI AU SINGLE MOTHER!S AU FATHER!S NAWAPENI BIG UP MAANA KULEA IS THE HARDEST JOB ON EARTH MAANA HAINA MSHAHARA AND AT TIMES HATA SHUKRAN MAANA KUNA WANAOKANA NA KUTEKELEZA WATOTO WAO LAKINI NYIE MMEIPOKEA KWA MIKONO MIWILI,ONE  LOVE MY PEOPLE,NIMEMALIZA.COM!!!

4 comments:

Anonymous said...

Familia mmependeza na happy birthday to Jojo

Anonymous said...

happy birthday Jojo

Anonymous said...

You have a very nice family Nuru, mungu awaweke Inshallah.

NURU THE LIGHT said...

Ameen inshallah ahsante n the same to you,,