UNAKUTA MTU ANASEMA DUNIANI HAKUNA TENA WANAWAKE AU WANAUME WA MAANA WELL NACHOWEZA KUSEMA NI KWAMBA KUNA WAKATI MNATAKA VITU AU WATU MSIOWAWEZA MEANING HAWAKULETWA KWA AJILI YAKO
DUNIANI KUNA WATU WAPO KIMAPENZI NA WATU WALIOPO KIMASLAHI CHA MSINGI NI KUJUA KUTOFAUTISHA ILI UJUE NANI ANAKUFAA, ,
UNAKUTA MWANAUME ANAONGEA AHH WANAWAKE WA SIKU HIZI WANATAKA HELA TUU BUT THE FUNNY THING IS KIJANA HUYO HUYO ANATAFUTA MWANAMKE ANAYEJIWEZA SO WHY POINTING THE FINGER AU NDIO YALE NYANI HAONI KU,,,?
DUNIA SASA HIVI IMEBADILIKA NA KUNA WANAWAKE DUNIA YA LEO WALIOSIMAMA IMARA NA WANAJIWEZA KIUCHUMI NA WANACHOTAKA NA KUHITAJI NI MAPENZI TU NA MTU ANAYEWAJALI SAME AS A MAN.
ILA NIMEGUNDUA KUNA WANAUME WANAONGEA TUU KUWA WANATAKA MWANAMKE ANAYEJITAMBUA AND SO ON ILA SI KWELI KWANI AKIMPATA ANATAKA AANZE KUMCONTROL,KUMBADILISHA,KUMKANDAMIZA OR EVEN TURN HER INTO A HOUSE WIFE ONLY SASA SI UNGEENDA TU KIJIJINI TUKAJUA
MOJA WHY UMCHUKUE MTU AMBAE ULIKUWA UNAJUA HUTAKI NA MARA NYINGI HIYO NDIO SCENARIO NA WAKO WENGINE NA MATATIZO MENGINE YANAYO FANYA EITHER NDOA ZAO AU MAHUSIANO YAO KUVUNJIKA.
MTU HATA HUNA HAKI YA KUMUULIZA MUMEO ULIKUWA WAPI UNADUNDWA,GEEZ!
NA MTU MWENGINE ANAMWAMBIA MUMEWE BWANA MIMI STAKI KUFANYA KAZI SI NI KAZI YAKO KUNILEA,REALLY!
CHA MSINGI NI KUJUA UNATAKA NINI NA MTU WA AINA GANI ILI MUENDANE NA KWENYE MAHUSIANO NO MATTER WHAT ITS ABOUT KU COMPROMISE NA KU MEET HALF WAY SASA MTU MBINAFSI UTAMUONA TUU NA KUGUNDUA MAPEMA VILE ALIVYOKUWA AU KAMA YUKO KIMASLAHI NI VILE TUU WAKATI MWENGINE MTU ANAAMUA KU LOOK THE OTHER WAY KWASABABU ZAO BINAFSI AU WAKO SOO INLOVE.
MUOMBE MUNGU AKUPE MTU MKWELI MAANA WAONGO NI WENGI DUNIA YA LEO ZAIDI YA WA KWELI SO CHA KWANZA MTU MKWELI,MUAMINIFU,ATAKAYEKUPENDA,KUKUJALI,KUKUHESHIM,KUKUSTIRI,FAITHFULL NA KUSIMAMA NA WEWE NO MATTER WHAT,YOUR SPECIAL ONE IS OUTHERE THE QUESTION IS ARE YOU READY AND ULTIMATLY THE CHOICE IS YOUR!S,ONE LOVE MY PEOPLE!!!
2 comments:
Point taken mimi namsubiri my dream man tall and chocolate da Nuru
Maneno mazuri dada nywele umenoga shost
Post a Comment