Jamani nami natamani kukata nywele i had my long hair tangu niko Secondary school 1995 mpaka leo nna watt 3 sijazikata huwa sivaagi wigi zenyewe ni wigi tosha ila natamani kukata nkiona hawa wadada uwiiiiiii.
Usikate anon chukua wigi nenda saloon walikate style unayotaka uone je utapendeza kwanza then kama bado unataka kukata kata aaaaaaaaaa,,, Good for you love miss absolute
5 comments:
This short hair trend is cute, Nuru please don't put ideas in my head! hahahahah
Yaani mm mwenyewe nimetamani geeeeeez ila wig linahusika ku try out the riri n j hud looks
Jamani nami natamani kukata nywele i had my long hair tangu niko Secondary school 1995 mpaka leo nna watt 3 sijazikata huwa sivaagi wigi zenyewe ni wigi tosha ila natamani kukata nkiona hawa wadada uwiiiiiii.
These pixies are liberating,nilishakata na sirudi nyuma,fashionable muda wote
Usikate anon chukua wigi nenda saloon walikate style unayotaka uone je utapendeza kwanza then kama bado unataka kukata kata aaaaaaaaaa,,,
Good for you love miss absolute
Post a Comment