FIFA WAMEMCHAGUA MSENEGAL FATMA SAMOURA KUWA KATIBU MKUU NA HIKI KITENDO NI HISTORIA FATMA ATAKUWA MWANAMKE WA KWANZA IN HISTORY KUCHAGULIWA KWENYE HIKO KITENGO AM SO SO HAPPY FOR HER THIS IS BIIIIIIIIIIIIG,,,HONGERA SANA FATMA SAMOURA!!
Article by Yomi Kazeem
1 comment:
Hongera zake
Post a Comment