Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Monday, May 9, 2016

HAPPY MOTHER!S DAY TO MOMMY DEAREST!!!











KUNA MSEMO UNAOSEMA NANI KAMA MAMA BUT SIO KILA MAMA NI MZAZI BORA
I GUESS SITOTAKA KUONGEA MENGI ILA CHA MSINGI KILE NILICHOFUNZWA TU,,
MUHIM KULIKO VYOTE NIMEFUNZWA KUWA INDEPENDENT NOT ONLY ME BUT EVEN MY BROTHERS HICHO NDIO KILIKUWA MUHIM SANA KUWEZA KUSIMAMA IMARA NA KUJITEGEMEA NA KUWA A PRODUCTIVE CITIZEN AND NOT ILIMRADI TU
ELIMU PIA ILIKUWA NI KITU MUHIM SANA KWA MAMA NA ALIKUWA MKALI SANA KWENYE SEKTA HIYO,,
KINGINE TO KNOW UMETOKEA WAPI MEANING YOUR IDENTITY JAPOKUWA TUMEKULIA ULAYA ILA MPAKA LEO TUNAANDIKA NA KUONGEA KISWAHILI JAPO KUWA TUKO FLUENT KWENYE LUGHA NYENGINE PIA ILA ALIKUWA MKALI KUWA NYUMBANI TUNAONGEA KISWAHILI SO HUWA NACHEKA MTU KAENDA DAR TUU AKIRUDI KWAO MBEYA KASAHAU KIKWAO HAHAHAH AISEE USHAMBA NI MZIGO
MAMA ALIKUWA MKALI WHEN IT COMES TO PENDENI KWENU NA THAMINI VYA KWENU HATA MKIWA MASKINI KIVIPI ILA RIDHIKA NA KWENU KUKO VIPI AND NEVER BE ASHAMED NA HICHO NDIO KIMETUSAIDIA NA KUTUONGOZA ESPCIALLY KURIDHIKA,KUISHI MAISHA TUNAYOYATAKA NA KUYAMUDU NA KUTOKUWA NA TAMAA NA VITU VYA KIJINGAJINGA ILA KUW NA MALENGO,,
TUMSIFU MUNGU KWA HILO MAANA NA YEYE AMECHANGIA SANA KWA UPANDE MKUBWA SINCE IMANI IPO AT HOME,AMEN
UNAAMBIWA WATOTO HAWAIGI MANENO YAKO BALI HUIGA VITENDO VYAKO  NA UKIWA MFANO MZURI BASI NA WATOTO HUIGA HILO,
AHSANTE MAMA KWA KUTULEA,KUTUJALI,KUJINYIMA,KUSICRIFISE,KUTUPENDA NA KUTUSUPPORT KWENYE MAMBO YETU MUNGU AZIDI KUKUBARIKI,KUKUZIDISHIA NA KUKUPA MAISHA MAREFU NA KUTIMIZA NDOTO ZAKO PIA,VI ÄLSKAR DIG MAMMA!

1 comment:

Anonymous said...

Hongera kwa mama Nuru, sio wazazi wote wanaolea watoto wao nje ya Tanzania wanakuwa na msimamo kama wa mama yenu. Mngeishia kuongea kingereza na kiswidish basi lakini kwa msimamo wake hakuna anayeweza kujua kama Nuru hajakulia Tz unaandika kiswahili vizuri tu. Big up mama Nuru.