HAHAHA HAWAKUJUI CHIBU WANGEKUJUA WALA WASINGEHANGAIKA KUANDIKA NA KUKUONGELEA,WHY CARE SO MUCH ABOUT ISHH GEEZ!!!
2 comments:
Anonymous
said...
Diamond/Naseeb!!! Umeanza kuwa wa aaajabu na wewe!!!! Kwanini unajibu "tuhuma" kwenye mitandaoooo? Unamuanaga Jay Z au Usher au Snoop wakijibu comments kwenye mitandao????? Wewe sasa ni super star ebu kaa kimyaa aiseee!!! Huyo Zari yeye sio super star hivyo mwache alale kwenye mitandao Hana cha kupotezaaa! Wewe ni kioo cha jamii tena sana tuuuu! Nakuomba sana uache tabia ya kujibizana kwenye mitandao haipendeziiiiiii hataaaaa!!!! Asante Sana!

He knows what he's doing.
Post a Comment