CHUKI NI KITU KIBAYA SANA,,
CHUKI DOES NOT THINK
CHUKI IS NOT RATIONAL,,
CHUKI DOES NOT MAKE SENSE
CHUKI IS BLIND LAKINI CHA HATARI KABISA NI KWAMBA CHUKI INAWEZA KUKUFANYA UFANYE VITU VYA AJABU SANA BILA KUJIJUA SIMPLY BECAUSE YA CHUKI,UTAKUTA MTU ANATOA SABABU ZA KIJINGA HATA KAMA UKWELI UKO MBELE YAKE AISEE CHUKI NI UGONJWA AMBAO UNASIKITISHA TUU IN MY OPINION,,
Sasa ona hawa Watanzania wako kwenye page ya MCONGO wakitumtukana Wolper not even thinking wataonekanaje kwenye jamii,shame on you halafu wanawake eti toa picha za uchi like i said it is sad and pathetic,,Aibu tupuuuu!
Halafu mnashangaa wale wakaka walivyombaka yule dada na kusambaza mnashangaa nini wakati tuna wapumbavu kama hawa,,
Kuna vitu hamtakuja vielewa mpaka mpitie na wengine wenu you are not that strong so wala msiombee yawakute let alone kucheka yakimkuta mwenzenu,,
NINA RAFIKI YANGU ALINIAMBIA NURU NI BORA MIMI NIMEATHIRIKA NAJIJUA UGONJWA WANGU BUT HEY NNA FAMILY NA MTOTO NA MUME WANGU AND AM CONTENT WITH IT NA HATA SIKU MOJA SITAKI KUUMWA UGONJWA WA CHUKI KIUKWELI SIKUMEELEWA MWANZO BUT TODAY NAMUELEWA MARA MILLIONI,,
1 comment:
wanawake wa bongo ni masnitch roho mbaya wivu na wanafki ngachokaa
Post a Comment