Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Thursday, May 19, 2016

CONGRACTULATIONS RAJAI FOR BEING ONE OF THE BEST Q!URAN READER!S IN THE WORLD!!!









95 COUNTRIES PARTICIPATED IN IRAN FOR THIS COMPETITION,,
HE MADE IT TO THE TOP 20 AND THEN TOP 6 AND THE  REST IS HISTORY,,
CONGRACTULATIONS TO YOU,,

NCHI 95 WALISHIRIKI KWENYE MASHINDANO YA KUSOMA QURAN NCHINI IRAN NA AMECHUKUA NAFASI YA SITA,HONGERA ZAKE!!,

3 comments:

Anonymous said...

Wow!!! MashAllah!!! Allah karim...Mabrouk Brother....Allah azidi kukuongoza.
Walah mpaka nimesisimka....Mungu anakupenda sana ngugu yetu...
Ahsante kwa kusimama kama m Tanzania...Umewapa moyo walio nyuma yako na wanafunzi wa Quran kwa ujumla.
Congrats to your achievements!!!!!! GOOD is GOOD
AM

Anonymous said...

Mashallah hongera sana kijana.

Anonymous said...

Allah is truly great, hongera sana