Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Wednesday, May 11, 2016

WHAT THE HECK IS WRONG WIH THESE MEN,,GEEEEEEEEEEEEZ!!!






SO EX WA NICKI KAMSUE KUMSHTAKI NICKI MINAJ KWA ABUSE BOTH PHYSICAL AND PHYSOLOGICAL HAHAHAHAHAHAH I GO DIE WOOOOOOOOO,,REALLY!!
SO YOU WERE WITH THIS WOMAN MIAKA MINGAPI KARIBIA KUMI LEO UNAMSHTAKI NA KUTAKA HELA KUTOKA KWAKE,,
SAFAREE WAKATI MMEACHANA YOU ACTED LIKE A GENTLEMAN NA WATU WALIKUWA NYUMA YAKO BOTH WANAUME NA WANAWAKE SASA LEO IMEKUWAJE
WHAT HAPPENED TO WANAUME SIKU HIZI?
WHY THEY ACTING AS IF KUACHIKA NI KITU CHA AJABU,,
NA KWANINI UENDELEE KUMFUATILIA MTU BAADA YA KUISHI MAISHA YAKO?
WANAWAKE WAMEJAA NENDA KATAFUTE ANAYEKUFAA AND ANZA MAISHA YAKO UKUTE HATA ALIKUWA NA WANAWAKE WAKATI YUKO NA NICKI,,
HALAFU WALA ASINGEMJIBU ANAJISHUSHA TUU YANINI KUMJIBU MTU WAKATI ULIMLEA MDA WOTE HUU NA KUMJALI,,
KUNA WATU HAWANA SHUKRANI NA HATA UWAFANYIE NINI SIKU WAKIWA HAWAPATI BENEFITS ZAKO NDIO WANAKUWA HIVI ILI WAKUHARIBIE AU KUKULETEA MATATIZO ILI USIWE NA AMANI,SAD BUT TRUE!!
KWELI WANAUME HALISI TULIKUWA NAO THEN (BABA ZETU) SASA HIVI HATA SIJUI KITU GANI KIMEWASIBU HAWA VIUMBE MAANA MWANAUME TAKES PRIDE IN TAKING CARE OF HIMSELF HUO NDIO UANAUME THIS I DON!T EVEN KNOW WHAT TO CALL IT,,
MWISHO WA UBAYA SIKU ZOTE NI AIBU ONA SASA UNAVYOAIBIKA SAFAREE KWANI ULISHINDWA TUU KUOMBA MSAADA KAMA NI HILO UNAHITAJI MBONA ANGEKUSAIDIA TU KWAVILE HAMKUWA MAADUI SASA HII NDIO NINI??
SAFAREE SHAME ON YOU MEEN,,



2 comments:

Anonymous said...

The light skuizi hamna wanaume kuna mboo tuu duniani lol

Anonymous said...

Kizazi cha kidigital tabu tupu