NDIO MAANA YA KUWA MZAZI,KUWA MZAZI NI KUMUWEKA MTOTO WAKO KWANZA BEFORE ANYTHING ELSE LAASIVYO UTAITWA MZAZI KWENYE KARATASI TUU,,
BIG UP TO YOU BOTH NA MUWE MFANO KWA WENGINE,,
USIDHANI KUWA WEWE KAMA MZAZI MKIWA NA MATATIZO NA MZAZI MWENZIO BASI HUWA UNAMKOMOA MZAZI HAPANA NI MTOTO NDIO HUWA ANAUMIA ZAIDI KULIKO MZAZI NA HUYAWEKA NA KUKUMBUKA NA KUJISKIA VIBAYA NA KUMUEFFECT KISAIKOLOJIA,REMEMBER THAT!!!
3 comments:
Aisee hawa hongera zao sana mungu awalinde msiwe na akili za kushikiwa mbele ya mtoto wenu so proud of you guys. Mfano wa kuigwa huu mungu awalindie mtoto wenu mzuri mashaallah.
Kiukweli na mimi kama mzazi machozi yamenitoka yaani endeleeni na msimamo wenu kwa ajili ya binti yenu jamani.
Well said The Light
Happy birthday Angel
Post a Comment