At the Launch,First ever movie actress to have an app out at the market from East Africa,Congractulations Wema Sepetu!!!
IMAGES BY BESTIZZO
5 comments:
Anonymous
said...
Jamani wasanii kwa wasanii hawapendani kwa kweli, hakuna aliempongeza katika instagram zao zaidi ya shilole loo ingekuwa udaku wema ana mkongo wangetafuta ya kusema jamani hebu onyesha upendo na kumpa mwenzenu hope hata kama humpendi, huwezi jua kesho na keshokutwa anweza kuja wasaidia na wengine wekeni uadui pembeni mnapoona msanii au mwanamuziki anatambulika kwa mazuri na kuwafungulia njia wengine, watu ni birthday ya Cookie na vijembe tu. Wanawake kweli hawapendani adui yako ni mwanamke mwenzio kwa kweli lol. Hongera sana Madam. Nuru una moyo wa Peke yako wewe mdada Mungu akubariki kwa moyo wako.

Ahsante mdau n the same to you,bless
Nuru the light habagui mtu au maendeleo ya mtu saf sana mdada
yes nuru ur the best dear dont ever change
Post a Comment