MOTHER DEAREST NIMEPENDA JACKET LAKE,,
KAHIPS KAMEBEEP,MY BATIK JEANS!!
SIKU NTINGI NLIKUWA SIJALA BURGER KING AISEE NO THANKS I HATE EM NOW,,
I ONLY LOVE THEIR ICE CREAM,,
KUNA WAKATI UNAPEWA MITIHANI UNABAKI KUMUULIZA MUNGU KWANINI MIMI? NIMEKUKOSEA NINI NI SWALI UTAULIZA LAKIN JUA MITIHANI IPO KUKUJENGA WEWE NA SI MWENGINE ESPECIALLY KAMA ANATAKA KUKUFUNZA SOMO FLANI
MIAKA KADHAA YA NYUMA NILIFANYIWA SURGERY MARA TATU NDANI YA MWAKA MMOJA KWASABABU YA CANCER AU NITUMIE LUGHA SAHIHI A TUMOR,,
NAKUMBUKA ILE SURGERY YA MWISHO NDIO ILINITESA SANA WAKATI WA OPERATION NA AFTER MAANA NILIKUWA NAMAUMIVU SANA,,
RECOVERY ILIKUWA KITU KIGUMU SANA ILA USINGEWEZA JUA MAANA NILIKUWA NABLOG KAMA KAWAIDA NAMUOMBA MTU ANISAIDIE KUWEKA POST ILA NIMEKAA NAE KARIBU NIKIMFAHAMISHA KIPI AWEKE MAANA AT TIMES HATA MACHO KUFUNGUA TUU ILIKUWA TABU BUT HEY I GOT THROUGH IT NA ILINIBADILISHA KIFIKRA KUWA MAISHA YANAWEZA KU END AT ANY GIVEN TIME NIKASEMA NI VITU GANI BADO SIJATIMIZA NA NATAKA NIWEZE KUFANYA KABLA SIJAFARIKI NAAM BAADA YA MWAKA HIVI NIKAWA NIMESHAJUA NITAFANYA KITU GANI ILI NIWEZE KUTIMIZA,,
TATIZO JINGINE LILIJOLITOKEZA NI UWOGA NIKAWA NATAFUTA MTU NIWEZE KUFANYA NAE HICHO KITU WAKATI I ALREADY HAD THE MONEY AND EVERYTHING,,
KIUKWELI NIWAAMBIENI USIWEKE MAISHA YAKO MIKONONI MWA BINAADAM MWENGINE YOYOTE HATA SIKU MOJA UKIONA MTU ANAKUZUNGUSHA TAFUTA NJIA YAKO NA HANGAIKA MWENYEWE ILI UWEZE KUKIFANIKISHA,,
NAOMBA NIELEWEKE KAMA UNA NIA MBAYA JUA UTAFELI TUU,,
I LOST ALMOST A YEAR JUST BY WAITING ON AN IDIOT YES MPUMBAVU MMOJA HIVI BUT IN A WAY NADHANI MUNGU ALIKUWA ANANITAYARISHA KWA YATAKAYOJIRI MBELENI,,
NAAM MDA NA WAKTI SAHIHI ULIPOFIKA NILIFANIKISHA KILA KITU VERY SMOOTHLY AS IF MUNGU ALIKUWA ANAFUNGUA MILANGO KILA NAPOENDA
CHANGAMOTO ZILIKUWEPO LAKINI ZILIKUWEPO KUNIFUNZA ILI NIWE MORE STRONGER AND WISER KWENYE MAAMUZI YANGU NA KWA HILO I THANK HIM FATHER GOD,,
KUNA WATU WATATOKEA KUTAKA KUKUPOTEZEA NJIA ILA TU KUWA MAKINI KUJUA NANI KAJA KWENYE MAISHA YAKO KWA BARKA AU NUKSI AND TRUS ME IV MET SOME NUSKI PEOPLE IN MY LIFE SO HAKUNA MTU ALIYE IMMUNE,,
KUMBUKA KUWA KUFANYA KOSA NDIO KOSA LAKIN KURUDIA KOSA HILO SIO KOSA
MITIHANI IPO KUTUFUNZA,,
MITIHANI IPO KUONYESHA HOW STRONG WE ARE,,
MITIHANI IPO KUTUONYESHA AT TIMES NJIA ILIYO SAHIHI,,
MITIHAN IPO ILI ITUPE A SECOND CHANCE AND HAVE A BETTER UNDASTANDING AT THINGS SO HATA UKIPATA AU UKIKOSA MWAMBIE BABA AHSANTE KWANI YEYE NDIO MUNGU,NIMEMALIZA.COM!!!
11 comments:
Thanks Nuru for the powerful words, umemaliza yote. Nimefurahi kumuona mother dearest (in Nuru's voice) imepita muda bila kumuona. Wasichana wa sasa wangekuwa na ufahamu kama wewe I think wangeepukana na mengi. Sijui tatizo ni elimu au exposure yaani sielewi.
Daa Nuru umeongea mambo ambayo yamenigusa sana na ninayapitia kwa kweli, kwa kweli ukiwa na subira na ukipitia mambo mazito, na ukimuomba mungu kwa nia njema na ukiwa na roho safi jua kila jambo litakaa vizuri, kwani mitihani tumeumbiwa sie binadamu huwezi pata mazuri bila kupitia misukosuko katika maisha. Kiukweli umeongea ya maana sana. Pole sana kwa ulioyapitia na kuumwa mungu atakujalia kila utakalo litimie. Ameen.Kuna wa tu hapa duniani kazi yao kuharibia wenzao tu na ni manuksi tu yaani.
Nuru, yaani umeni inspire sana, I went through same thing last year, though for me ilikuwa ni ugonjwa tofauti ,mpaka nikawa najiuliza nimemkosea nini Mungu,Kusoma ulichoandika ni kama nimepata Nuru mpya ya ku start over. i wish ningekuwa naongea na wewe uwe unanipa nguvu ya uliyopitia. God bless you sister
Dah pole sana Nuru, i can feel your pain! you should never believe/depend on someone except your blood, people are so fake wallah so irritating have been there have seen that,
you can trust someone and at the end of the day he/she will hurt and disappoint you, stay very far as long as you know them hawatakusumbua
KELELE ZA CHURA HAZIMZUII TEMBO KUNYWA MAJI, NA JUA LA KUKU HALIMPATI MWEWE!
Pole Nuru , God has his ways they are not always the '' best for us''but hey it gets us there.
Keep what you doing girl and leave the rest to God
ANON WA 7.48 unaweza kutuma koment na sema usirushe ili nijue kama utataka any positive words sitarusha Bali ntakuwa najibu by posting the words of encouragement ili watu wengine pia wafaidike,,
Nuksi people wapo wamejaa tele n fake people aswell kuwa tu makini nao
Ahsanteni sana wote kwa maneno yenu nimeshare story yangu ili muelewe kwamba sio anaongea tuu Bali hata yeye kapitia,ahsanteni sana it warms my heart!
You are such an adorable young lady. Keep it up, Almighty God will protect and be with you.
I have been through the same suprisingly kuanzia the same ugonjwa but I took an additional worse route than yours after surgery chemotherapy na maisha kusimama kabisa, ila bado sijaweza kusimama kwa kutegemea kushirikiana na mtu. Thank you so much ila itabidi nisimame mwenyewe maana mtumai cha ndugu hufa masikini. Hii inaitwa naamka tena. Mungu azidi kukubariki
If you want share kidogo tukupe moyo I am with you hauko alone,,na wewe pia ubarikiwe
Halloo, utazani unazungumzia matatizo yangu....yani sijui niseme nini kumbe siko peke yangu, Ahsante Nuru...
Pole sana Nuru, Juu ya majaribu yote ya Mungu still tunasema Mungu ni mwema...kwa sababu bado tunaamka tena...
AM.....
Tuko pamojah wapendwa,,
Post a Comment