Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Wednesday, April 27, 2016

WEMA!!!

 Back in 2013,,




NAHISI WEMA FOR NOW ANGEVAA NGUO ZISIZO JIACHIA KWA CHINI The Mermaid Thing HAZIMCOMPLIMENT SHEPU YAKE AT ALL SHE NEEDS TO WEAR OTHER STUFF NA NGUO ZIPO NYINGI TU SEMA ALISHAZOWEYA HIYO STYLE SO SIJUI KAMA ANAOGOPA AU NI MAZOWEYA AFRAID TO TRY KINGINE WHICH NA RECOMMEND KWA SASA SHE SHOULD,OTHER THAN THAT THIS DRESS WAS WAY BETTER THAN WHAT SHE WORE IN MWANZA FOR THE INSTANGRAM EVENT,,

THINGS LIKE THESE KWA SASA VITAMPENDEZA, ,




EVE COLLECTION NI DESIGNER MZURI NA ANABRING OUT YOUR BEST FEATURES NO MATTER SHEPU YAKO IKOJE HIYO NDIO TRICK YA A GREAT DESIGNER AND KAMA HAPA KAIWEKEA MAPAMBO THE LACE SEHEMU INAYOHITAJIKA PIA KUTRICK THE EYE MEANING KUDANGANYA JICHO BY KUICHORA THE LACE NA MAUWA IKAMPA UMBO NAMBA NANE JAMANI HUO NDIO UBUNIFU NI THE CUT AND DETAILING THE DRESS ILI ATAKAYEIVAA APENDEZE NO MATTER THE BODYTYPE,,

9 comments:

Anonymous said...

Nuru, nakubaliana na wewe asilimia mia. Tatizo hajampata mshauri mzuri kwenye swala zima la mavazi. Nguo zisizochora umbo lake zinampendeza zaidi kuliko zile zinazoonyesha umbo kwani hazimkai vizuri hata kidogo na zinaonesha kama kuna mabondemabonde. Nafikiri angemchagua designer mmoja akawa ndio anamvalisha.

NURU THE LIGHT said...


ANAHITAJI A STYLIST AMBAYE YUKO DEDICATED,MODERN NA OPEN MINDED HALAFU AWE MKALI MAANA MTU KAMA WEMA HATOKUBALI TUU HALAFU SIO LAZIMA KILA VAZI LIONYESHE SHEPU HILO NDIO TATIZO LA WANAWAKE WENGI WAKIVAA ANATAKA AONYESHE SHEPU BUT TRY DIFFERENT LOOKS AMBAZO UNAONEKANA TOFAUTI KILA SIKU NA MTU ANAKUWA NA HAMU YA KUKUONA ON THE REDCARPET,,
ANA USO MZURI NA MVUTO ANAO YAANI SHE DOESNT NEED TO DO MUCH BASI TU,,

MWENGINE NI ZARI BUT THAT IS FOR ANOTHER SEGMENT,,

Anonymous said...

jeeesus yaani hakuna mtu aliyemwambia jamani huko nyumbani kwake kabla hajatoka nyumbani??? hata spanx hana? jamaaaani this is too much. tena alivyoachana na diamond style yake na image yake imezidi kuporonyoka. geeezzz get to the gym and wear spanx kama mke mwenzio wa SA

Anonymous said...

Kweli Wema nahitaji nguo za kujimwaga na sio nguo za kuonyesha shep. Where is kaka Manager jamani? Na yeye ni disainer mzuri sana kama nguo aliomshonea ktk birthday yake. Please Wema unapendwa sana jiangalie mara mbili unapotoka kwenye umati wa watu. watu wanakuchora sasa please tunaongea kwa kuwa tunakupenda.

Anonymous said...

Anamuiga sana Kim Kardashian kwa hiyo naye hujiona kama Kim. Mwenzie huwa anajijaladia saana na mazoezi anafanya, it's time aache hata kuvaa leggings/tights or whatever she is wearing hazimpendezi na kama anazipenda sana hawezi kuacha apungue. Hiyo nyuva aliyotokea na mabonde pengine angevaa a size bigger isingemchoresha vibaya hivyo. Amka tena Tz Sweethear uimbe Ndindindi na kuwashusha wanaokudanganya Mirembe

Anonymous said...

Ila tofauti ya hips la 2013 na hili hips la sasa mbona ni kubwa sana!!! What happened to her? Hata kama ndio kunenepa, hips huwa linanenepa na pia tumbo litaongezeka but haliachi mabonde kama ya kwenye nguo nyeusi, na kama nimeangalia vizuri naona la kushoto limeshuka zaidi ya la kulia, kwakweli sielewi kilichotokea.

Anonymous said...

Mwee hadi huruma kwa kweli yaani NUru hebu tupige ndindindi wema abadili mavazi ! yaani nimeshindwa kujizuia nicheke au kulia no hivi hao manager sijui marafikiw anamuachaje atoke home? na ananunua wapi nguo? sio watu wema wanamdanganya badala ya kusema ukweli hata kama mkali mumwambie tu sasa NO hebu ona? kaaaaaa

Anonymous said...

Kila mtu na mwili wake na unenepaji una tofautiana. Wengine hunenepa hips tuu na wengine hipsi na matako. Wengine shape zao zinaji balance na wengine mahipsi na matako yanakuja randomly. Wala hajafanys plastic surgery kwa maoni yangu ni maumbile tuu.
Ila mwisho wa siku Allah ndio muumbaji.



Ushauri wa Nuru ni mzuri tuu, anatakiwa kuzingatia mavazi kutokana na shape yake na pia afanye mazoezi

Anonymous said...

Wema mbishi sana kumsilikiza mtu, lkn ni kweli anachoreka sana hebu Idris nae amsaidie lbd atamsikia vile anampenda.