Genuine Nordic Vodka
Tuesday, April 19, 2016
THE MASAI BANGLES!!!
KUNA WADAU KADHAA MMENIULIZA KUHUSU HIZI BANGILI KUWA NIMENUNUA WAPI WELL NILIZINUNUA AIRPORT WAKATI NASAFIRI IN TANZANIA
KUNA A COUPLE OF SOUVENIR STORES KULE JUU NDIPO NILINUNUA ILA HAZIKUWA MBELE BALI KWENYE KIKAPU CLOSE TO THE CASHIER,,
ILA CHUKUENI PICHA WATAFUTENI WAMASAI WATAWATENGENEZEA TENA NA SHANGA NA RANGI UTAKAZOZIPENDA THEY ACTUALLY VERY GOOD MIMI NIMESHATENGENEZEWA HERENI NA VITU KADHAA MARA NYINGI TU,,
A COUPLE OF YOU READER!S HAVE BEEN ASKING ME ABOUT MY BANGLES ON THAT PICTURE ABOVE AND I ACTUALLY BOUGHT THEM AT A SOUVENIR SHOP AT THE JULIUS NYERERE AIRPORT IN TANZANIA,,
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment