Aisee we Nuru yaani unajitambua vibaya sana yaani ukienda bongo ww huna majivuno au kujionyesha ya kukaa mahotel ya bei ya juu mwenyewe Lamada panakutosha uko simple kabisa si kama wengine wanaoishi Ulaya wakienda bongo ni kujionyesha wanakaa kunduchi wallah nimekupenda bure kabisa, mm naishi Norway nkienda na family yangu ndio nafikaga hapo ni pazuri na watoto wanaenjoy kukaa kama home, Hongera sana my dear.
5 comments:

Ndio nachompendea huyu dada no majivuno and very real wasiomuelewa hawatamwelewa kamwe
Wangekuwa kina naniliiiiiii tusingepumua mjini
Am loving the blazer the light
Ahsante mdau wa Norway na wengineo,,Shukran
pendeza sana
Post a Comment